Hotel za Nigeria muda unaoingia ndioUna hoja ....
utakaotoka
Ukiingia saa sita usiku utatokaka kesho saa sita usiku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hotel za Nigeria muda unaoingia ndioUna hoja ....
Una hoja.
Unaingia hotelini saa 7 usiku, lakini saa 4 asubuhi unaambiwa uachie chumba.
Sahihi kabisa,tunaomba mamlaka husika kusimamia hili.Mkuu una hoja ila naongezea.
Muda mwingine unaenda lodge saa 7 mchana unataka kuchukua room ya kulala sti wanagoma , wanasema muda wa kukodi chumba cha kulalani kuanzia saa 2 usiku. Hoja yao wanasema muda huo wa mchana ni muda wa shoo time na hii tabia ipo sana kwa mkoa wa DAR, mkoani sijawahi kukutana nayo.
Sio kweli mfano Nigeria ni tofauti ni hadi masaa yako 24 yatimieIko hivyo hata huko dunian mkuu
Kama kobe , 😀Kuna hotel niliwahi kulala hadi saa nne na dakika 5, nilipo toka na kuomba radhi kwa kuchelewa for 5 minutes.....
Nilisikia msonyo mrefu ukitoka kwa nyuma yangu na kufuatiwa na maneno "ukitaka raha, safiri na chumba chako"
Na wote tunafahamu siku ina masaa 24
Tafuteni lodge za maana sio hizo zenye biashara ya short timeMkuu una hoja ila naongezea.
Muda mwingine unaenda lodge saa 7 mchana unataka kuchukua room ya kulala sti wanagoma , wanasema muda wa kukodi chumba cha kulalani kuanzia saa 2 usiku. Hoja yao wanasema muda huo wa mchana ni muda wa shoo time na hii tabia ipo sana kwa mkoa wa DAR, mkoani sijawahi kukutana nayo.
Sio kweli Acha kupotosha, wala hata haipo hivyo, kuna Hotel nyingi sana zina huo utaratibu wa 24hrs! Umesafiri Hadi wapi? Mara Ngapi?Hawahesabu masaa 24 kutokana na kubanwa na shughuli zako na kufika kwa kuchelewa ikiwa hivyo kila mteja atakuwa na masaa 24 yake(ku handle itakuwa ngumu). Kama we ni msafiri na hitaji lako ni kukaa masaa 24 hotel na sio shughuli zako ukifika destiny lala popote kisha fika Hotel saa5asb ili upate masaa 24 hadi kesho yake.
Huu ni utaratibu kwenye kila kitu.
1. Hata ukiagiza chakula hawakupimii kutokana na njaa yako.
2. Gari haiondoki stand kwa haraka zako.
Kila kitu kinautatatibu suala ni priority and be humble kwenye kila kitu.
Inaeleweka kuwa huwezi timiza mahitaji ya kila mtu, lakini kuna kesi maalumu, mfano msafiri, amefika lodge saa 10 alfajiri, na chumba kilisha lala bila mteja kwa siku hiyo, simply ni kuwa siku ya jana haikuwa na biashara nzuri, kwa nini asimpe tu mteja apumzike, kuna maana gan kumlaza mteja kwenye viti ili asubiri kukuche,Hawahesabu masaa 24 kutokana na kubanwa na shughuli zako na kufika kwa kuchelewa ikiwa hivyo kila mteja atakuwa na masaa 24 yake(ku handle itakuwa ngumu). Kama we ni msafiri na hitaji lako ni kukaa masaa 24 hotel na sio shughuli zako ukifika destiny lala popote kisha fika Hotel saa5asb ili upate masaa 24 hadi kesho yake.
Huu ni utaratibu kwenye kila kitu.
1. Hata ukiagiza chakula hawakupimii kutokana na njaa yako.
2. Gari haiondoki stand kwa haraka zako.
Kila kitu kinautatatibu suala ni priority and be humble kwenye kila kitu.
Nairobi chumba unalipia usiku Kuna bei yake na mchana Kuna bei yakeNajua wengi mmeshakutana na hizi changamoto za kulazimishwa kuachia chumba huku ukiwa umepumzika kwa masaa 6 tu.
Wale wasafiri wa usiku, ama wala bata hizi kero za kuamshwa asaubuhi hasa ikifika saa 4 kuwa muda wa chumba umeisha nilazima ukereke sana.
Bei za chumba huwa ni kwa siku. Na wote tunafahamu siku ina masaa 24. Kila unapocheck in wanachukua hizo taarifa zao. Lakini kwenye ku check out hawazingatii muda ulioutumia.
Binafsi naona sio sawa. Mamlaka husiku zinazozingatia ustawi wa jamii waelekeze usahihi kwa kulinda muda wa wawateja. Kama tunaweza kuweka utaratibu kwenye nyumba za kupanga kuwa kuna mambo ya kuzingatia.
Basi pia hizi hoteli, gesti na logde ziwajali wateja wao wapate muda wa kupumzika sio kuwafukuza kisa umeweka tu muda mwisho saa 4.
Ama wengine kuingia mwisho saa 5 usiku.
Ama mnasemaje wadau?
Hata hapa bongo.Hotel za Nigeria muda unaoingia ndio
utakaotoka
Ukiingia saa sita usiku utatokaka kesho saa sita usiku
Ok nigeria ipi mkuu maana Lagos ni mchezo huo huo niliukutaSio kweli mfano Nigeria ni tofauti ni hadi masaa yako 24 yatimie
Wanazingua kinomaHasa Sinza na Manzese
Hotel zinazoeleweka unaambiwa check in time ambayo huwa 1000hrs-1200 na check out time 1000hrs-1200hrs. Hapa unakuwa umefsnya booking.Utaratibu halali ni kuzingatia mzunguko wa masaa 24. Mteja awe na haki kuondoka muda wowote ndani ya masaa 24 baada ya kulipa pango
Serikalini kuna kitu wanasema fuata sheria, kanuni, na miongozo ya kazi. Taasis imara haihitaji huruma katika kutekeleza majukumu yake. Hata hizo Lodge, hotel etc zinaweza kuwa na mfumo huo.Inaeleweka kuwa huwezi timiza mahitaji ya kila mtu, lakini kuna kesi maalumu, mfano msafiri, amefika lodge saa 10 alfajiri, na chumba kilisha lala bila mteja kwa siku hiyo, simplu ni kuwa siku ya jana haikuwa na biashara nzuri, kwa nini asimpe tu mteja apumzike, kuna maana gan kumlaza mteja kwenye viti ili asubiri kukuche,
Kuna hotel ya level ya chini nililipa sh alfu 45 Mwanza, nimeingia saa 7:30 usiku, asubuhi wametaka nilipe tena nikawagomea.Guest house leseni Yake ndio hiyo saa nne asubuhi wageni wote wanatakiwa watoke. Ukitaka ukae masaa 24 nenda kwenye hotel kubwa.
Kuna hotel Zina usajili wa guest house yeye anaiita hotel changamoto inaazia hapo..Kuna hotel ya level ya chini nililipa sh alfu 45 Mwanza, nimeingia saa 7:30 usiku, asubuhi wametaka nilipe tena nikawagomea.
Baada ya mzozo wakaniacha.
Nadhani wahudumu wanajiongeza ili wapate cha juu.