Utaratibu wa kuachia vyumba kwenye Hotel, Lodges na Guest House ni wa udhulumaji

Najua wengi mmeshakutana na hizi changamoto za kulazimishwa kuachia chumba huku ukiwa umepumzika kwa masaa 6 tu.

Wale wasafiri wa usiku, ama wala bata hizi kero za kuamshwa asaubuhi hasa ikifika saa 4 kuwa muda wa chumba umeisha nilazima ukereke sana.

Bei za chumba huwa ni kwa siku. Na wote tunafahamu siku ina masaa 24. Kila unapocheck in wanachukua hizo taarifa zao. Lakini kwenye ku check out hawazingatii muda ulioutumia.

Binafsi naona sio sawa. Mamlaka husiku zinazozingatia ustawi wa jamii waelekeze usahihi kwa kulinda muda wa wawateja. Kama tunaweza kuweka utaratibu kwenye nyumba za kupanga kuwa kuna mambo ya kuzingatia.

Basi pia hizi hoteli, gesti na logde ziwajali wateja wao wapate muda wa kupumzika sio kuwafukuza kisa umeweka tu muda mwisho saa 4.

Ama wengine kuingia mwisho saa 5 usiku.
Ama mnasemaje wadau?
Niliwahi kwenda locge moja Kilwa huko, nikaingia saa 11, eti saa 4 wananiamsha muda umeisha, niliwaletea noma kichizi
 
Mkuu una hoja ila naongezea.

Muda mwingine unaenda lodge saa 7 mchana unataka kuchukua room ya kulala sti wanagoma , wanasema muda wa kukodi chumba cha kulalani kuanzia saa 2 usiku. Hoja yao wanasema muda huo wa mchana ni muda wa short time na hii tabia ipo sana kwa mkoa wa DAR, mkoani sijawahi kukutana nayo.
 
Kuna siku kama miezi minne au mitano imepita, nilisafiri kwenda Kasulu, lile basi lilitoboa hivyo tukafika Kasulu saa 10 alfajiri, nikaenda Lodge nikakuta wahudumu, wakaniambia nipewa room muda ule itabidi nilipie huo usiku as a complete night! Tukazozana basi nikawa mpole nikaambiwa nisubiri Hadi saa 12 asubuhi ndio nitakua registered kwa siku mpya.

Ilibidi nilale kwenye kiti kwa almost 90 minutes. Naelewa mleta mada unachosema.
Niliwahi kuambiwa hivyo na mhudumu kuwa nisubiri hadi saa 12 asubuhi ili niwe registered kwa siku mpya, "
 
Je kwa msafiri? Itabidi awahi pia?
Hawahesabu masaa 24 kutokana na kubanwa na shughuli zako na kufika kwa kuchelewa ikiwa hivyo kila mteja atakuwa na masaa 24 yake(ku handle itakuwa ngumu). Kama we ni msafiri na hitaji lako ni kukaa masaa 24 hotel na sio shughuli zako ukifika destiny lala popote kisha fika Hotel saa5asb ili upate masaa 24 hadi kesho yake.

Huu ni utaratibu kwenye kila kitu.
1. Hata ukiagiza chakula hawakupimii kutokana na njaa yako.

2. Gari haiondoki stand kwa haraka zako.

Kila kitu kinautatatibu suala ni priority and be humble kwenye kila kitu.
 
FB_IMG_1728425746952.jpg
 
Najua wengi mmeshakutana na hizi changamoto za kulazimishwa kuachia chumba huku ukiwa umepumzika kwa masaa 6 tu.

Wale wasafiri wa usiku, ama wala bata hizi kero za kuamshwa asaubuhi hasa ikifika saa 4 kuwa muda wa chumba umeisha nilazima ukereke sana.

Bei za chumba huwa ni kwa siku. Na wote tunafahamu siku ina masaa 24. Kila unapocheck in wanachukua hizo taarifa zao. Lakini kwenye ku check out hawazingatii muda ulioutumia.

Binafsi naona sio sawa. Mamlaka husiku zinazozingatia ustawi wa jamii waelekeze usahihi kwa kulinda muda wa wawateja. Kama tunaweza kuweka utaratibu kwenye nyumba za kupanga kuwa kuna mambo ya kuzingatia.

Basi pia hizi hoteli, gesti na logde ziwajali wateja wao wapate muda wa kupumzika sio kuwafukuza kisa umeweka tu muda mwisho saa 4.

Ama wengine kuingia mwisho saa 5 usiku.
Ama mnasemaje wadau?
Chumba kinakodiwa kwa USIKU (Nights) na siyo kwa SIKU. Hiyo ndo standard ya mahoteli yote duniani.

Ndio maana hata ukifika alfajiri ukifaka kuingia utalipia ya USIKU mzima na kuangalia muda wa check-in time kwa ajili ya usafi na taratibu nyengine.

Ukilielewa hilo hili swali linakuwa rahisi kujibu
 
Najua wengi mmeshakutana na hizi changamoto za kulazimishwa kuachia chumba huku ukiwa umepumzika kwa masaa 6 tu.

Wale wasafiri wa usiku, ama wala bata hizi kero za kuamshwa asaubuhi hasa ikifika saa 4 kuwa muda wa chumba umeisha nilazima ukereke sana.

Bei za chumba huwa ni kwa siku. Na wote tunafahamu siku ina masaa 24. Kila unapocheck in wanachukua hizo taarifa zao. Lakini kwenye ku check out hawazingatii muda ulioutumia.

Binafsi naona sio sawa. Mamlaka husiku zinazozingatia ustawi wa jamii waelekeze usahihi kwa kulinda muda wa wawateja. Kama tunaweza kuweka utaratibu kwenye nyumba za kupanga kuwa kuna mambo ya kuzingatia.

Basi pia hizi hoteli, gesti na logde ziwajali wateja wao wapate muda wa kupumzika sio kuwafukuza kisa umeweka tu muda mwisho saa 4.

Ama wengine kuingia mwisho saa 5 usiku.
Ama mnasemaje wadau?
Gesti ndio mnatolewa saa tatu asubuhi.
Hoteli mnalala saa 24.
Msipeleke watoto wa watu Gesti, changa hata kwa miezi umpeleke Hotelini, Kulipia utelezi kwa laki moja una hasara gani?
 
Mkuu una hoja ila naongezea.

Muda mwingine unaenda lodge saa 7 mchana unataka kuchukua room ya kulala sti wanagoma , wanasema muda wa kukodi chumba cha kulalani kuanzia saa 2 usiku. Hoja yao wanasema muda huo wa mchana ni muda wa shoo time na hii tabia ipo sana kwa mkoa wa DAR, mkoani sijawahi kukutana nayo.
Hasa Sinza na Manzese
 
Ukitaka kunyooshana nao nenda saa saba usiku tarehe imeshabadilika!!

Kesho saa 4 asubuhi wakitaka kukuondoa utawakamatia hapo kwenye tarehe maana haijabadilika..

Sijui umenielewa? ?
Mi nilifika arusha saa 10 alfajiri na bado walikaza mbwa wale, saa nne nikalipa tena.
 
Mkuu una hoja ila naongezea.

Muda mwingine unaenda lodge saa 7 mchana unataka kuchukua room ya kulala sti wanagoma , wanasema muda wa kukodi chumba cha kulalani kuanzia saa 2 usiku. Hoja yao wanasema muda huo wa mchana ni muda wa shoo time na hii tabia ipo sana kwa mkoa wa DAR, mkoani sijawahi kukutana nayo.
Kwanza ni short time, pili usiende guest za hivyo utabeba kunguni
 
Najua wengi mmeshakutana na hizi changamoto za kulazimishwa kuachia chumba huku ukiwa umepumzika kwa masaa 6 tu.

Wale wasafiri wa usiku, ama wala bata hizi kero za kuamshwa asaubuhi hasa ikifika saa 4 kuwa muda wa chumba umeisha nilazima ukereke sana.

Bei za chumba huwa ni kwa siku. Na wote tunafahamu siku ina masaa 24. Kila unapocheck in wanachukua hizo taarifa zao. Lakini kwenye ku check out hawazingatii muda ulioutumia.

Binafsi naona sio sawa. Mamlaka husiku zinazozingatia ustawi wa jamii waelekeze usahihi kwa kulinda muda wa wawateja. Kama tunaweza kuweka utaratibu kwenye nyumba za kupanga kuwa kuna mambo ya kuzingatia.

Basi pia hizi hoteli, gesti na logde ziwajali wateja wao wapate muda wa kupumzika sio kuwafukuza kisa umeweka tu muda mwisho saa 4.

Ama wengine kuingia mwisho saa 5 usiku.
Ama mnasemaje wadau?
Hii point nilikuwa naisubili kwa muda .kwa kweli inachosha sana yaani umeingia saa 9 usiku hotelini ikifika saa 4 asubuhi wanakufukuza .
 
Back
Top Bottom