Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Je kwa msafiri? Itabidi awahi pia?Hauna hoja Boss. Kama unataka masaa 24 yatimie fika muda wanaochukua chumba Chao ambao kwa muda huo wewe unakuwa kwenye shughuli zako either safarini kama unavyosema.
Niliwahi kwenda locge moja Kilwa huko, nikaingia saa 11, eti saa 4 wananiamsha muda umeisha, niliwaletea noma kichiziNajua wengi mmeshakutana na hizi changamoto za kulazimishwa kuachia chumba huku ukiwa umepumzika kwa masaa 6 tu.
Wale wasafiri wa usiku, ama wala bata hizi kero za kuamshwa asaubuhi hasa ikifika saa 4 kuwa muda wa chumba umeisha nilazima ukereke sana.
Bei za chumba huwa ni kwa siku. Na wote tunafahamu siku ina masaa 24. Kila unapocheck in wanachukua hizo taarifa zao. Lakini kwenye ku check out hawazingatii muda ulioutumia.
Binafsi naona sio sawa. Mamlaka husiku zinazozingatia ustawi wa jamii waelekeze usahihi kwa kulinda muda wa wawateja. Kama tunaweza kuweka utaratibu kwenye nyumba za kupanga kuwa kuna mambo ya kuzingatia.
Basi pia hizi hoteli, gesti na logde ziwajali wateja wao wapate muda wa kupumzika sio kuwafukuza kisa umeweka tu muda mwisho saa 4.
Ama wengine kuingia mwisho saa 5 usiku.
Ama mnasemaje wadau?
Niliwahi kuambiwa hivyo na mhudumu kuwa nisubiri hadi saa 12 asubuhi ili niwe registered kwa siku mpya, "Kuna siku kama miezi minne au mitano imepita, nilisafiri kwenda Kasulu, lile basi lilitoboa hivyo tukafika Kasulu saa 10 alfajiri, nikaenda Lodge nikakuta wahudumu, wakaniambia nipewa room muda ule itabidi nilipie huo usiku as a complete night! Tukazozana basi nikawa mpole nikaambiwa nisubiri Hadi saa 12 asubuhi ndio nitakua registered kwa siku mpya.
Ilibidi nilale kwenye kiti kwa almost 90 minutes. Naelewa mleta mada unachosema.
Hawahesabu masaa 24 kutokana na kubanwa na shughuli zako na kufika kwa kuchelewa ikiwa hivyo kila mteja atakuwa na masaa 24 yake(ku handle itakuwa ngumu). Kama we ni msafiri na hitaji lako ni kukaa masaa 24 hotel na sio shughuli zako ukifika destiny lala popote kisha fika Hotel saa5asb ili upate masaa 24 hadi kesho yake.Je kwa msafiri? Itabidi awahi pia?
Haiwezekani. Hiki hakitakuja kutokeaKuna hotel niliwahi kulala hadi saa nne na dakika 5, nilipo toka na kuomba radhi kwa kuchelewa for 5 minutes.....
Nilisikia msonyo mrefu ukitoka kwa nyuma yangu na kufuatiwa na maneno "ukitaka raha, safiri na chumba chako"
Rangi ya ugoro na topeMasaa 6 yote hayo?
Mbona mie huwa naachia chumba hata ndani ya dakika 45 tu na hakuna lawama
labda lawama za mhudumu kuhusu mashuka yake anayoyakuta uvunguni yana rangi 3 mpya!!
Chumba kinakodiwa kwa USIKU (Nights) na siyo kwa SIKU. Hiyo ndo standard ya mahoteli yote duniani.Najua wengi mmeshakutana na hizi changamoto za kulazimishwa kuachia chumba huku ukiwa umepumzika kwa masaa 6 tu.
Wale wasafiri wa usiku, ama wala bata hizi kero za kuamshwa asaubuhi hasa ikifika saa 4 kuwa muda wa chumba umeisha nilazima ukereke sana.
Bei za chumba huwa ni kwa siku. Na wote tunafahamu siku ina masaa 24. Kila unapocheck in wanachukua hizo taarifa zao. Lakini kwenye ku check out hawazingatii muda ulioutumia.
Binafsi naona sio sawa. Mamlaka husiku zinazozingatia ustawi wa jamii waelekeze usahihi kwa kulinda muda wa wawateja. Kama tunaweza kuweka utaratibu kwenye nyumba za kupanga kuwa kuna mambo ya kuzingatia.
Basi pia hizi hoteli, gesti na logde ziwajali wateja wao wapate muda wa kupumzika sio kuwafukuza kisa umeweka tu muda mwisho saa 4.
Ama wengine kuingia mwisho saa 5 usiku.
Ama mnasemaje wadau?
Rangi tatu mpya!Masaa 6 yote hayo?
Mbona mie huwa naachia chumba hata ndani ya dakika 45 tu na hakuna lawama
labda lawama za mhudumu kuhusu mashuka yake anayoyakuta uvunguni yana rangi 3 mpya!!
Gesti ndio mnatolewa saa tatu asubuhi.Najua wengi mmeshakutana na hizi changamoto za kulazimishwa kuachia chumba huku ukiwa umepumzika kwa masaa 6 tu.
Wale wasafiri wa usiku, ama wala bata hizi kero za kuamshwa asaubuhi hasa ikifika saa 4 kuwa muda wa chumba umeisha nilazima ukereke sana.
Bei za chumba huwa ni kwa siku. Na wote tunafahamu siku ina masaa 24. Kila unapocheck in wanachukua hizo taarifa zao. Lakini kwenye ku check out hawazingatii muda ulioutumia.
Binafsi naona sio sawa. Mamlaka husiku zinazozingatia ustawi wa jamii waelekeze usahihi kwa kulinda muda wa wawateja. Kama tunaweza kuweka utaratibu kwenye nyumba za kupanga kuwa kuna mambo ya kuzingatia.
Basi pia hizi hoteli, gesti na logde ziwajali wateja wao wapate muda wa kupumzika sio kuwafukuza kisa umeweka tu muda mwisho saa 4.
Ama wengine kuingia mwisho saa 5 usiku.
Ama mnasemaje wadau?
Hasa Sinza na ManzeseMkuu una hoja ila naongezea.
Muda mwingine unaenda lodge saa 7 mchana unataka kuchukua room ya kulala sti wanagoma , wanasema muda wa kukodi chumba cha kulalani kuanzia saa 2 usiku. Hoja yao wanasema muda huo wa mchana ni muda wa shoo time na hii tabia ipo sana kwa mkoa wa DAR, mkoani sijawahi kukutana nayo.
Mi nilifika arusha saa 10 alfajiri na bado walikaza mbwa wale, saa nne nikalipa tena.Ukitaka kunyooshana nao nenda saa saba usiku tarehe imeshabadilika!!
Kesho saa 4 asubuhi wakitaka kukuondoa utawakamatia hapo kwenye tarehe maana haijabadilika..
Sijui umenielewa? ?
Kwanza ni short time, pili usiende guest za hivyo utabeba kunguniMkuu una hoja ila naongezea.
Muda mwingine unaenda lodge saa 7 mchana unataka kuchukua room ya kulala sti wanagoma , wanasema muda wa kukodi chumba cha kulalani kuanzia saa 2 usiku. Hoja yao wanasema muda huo wa mchana ni muda wa shoo time na hii tabia ipo sana kwa mkoa wa DAR, mkoani sijawahi kukutana nayo.
Hii point nilikuwa naisubili kwa muda .kwa kweli inachosha sana yaani umeingia saa 9 usiku hotelini ikifika saa 4 asubuhi wanakufukuza .Najua wengi mmeshakutana na hizi changamoto za kulazimishwa kuachia chumba huku ukiwa umepumzika kwa masaa 6 tu.
Wale wasafiri wa usiku, ama wala bata hizi kero za kuamshwa asaubuhi hasa ikifika saa 4 kuwa muda wa chumba umeisha nilazima ukereke sana.
Bei za chumba huwa ni kwa siku. Na wote tunafahamu siku ina masaa 24. Kila unapocheck in wanachukua hizo taarifa zao. Lakini kwenye ku check out hawazingatii muda ulioutumia.
Binafsi naona sio sawa. Mamlaka husiku zinazozingatia ustawi wa jamii waelekeze usahihi kwa kulinda muda wa wawateja. Kama tunaweza kuweka utaratibu kwenye nyumba za kupanga kuwa kuna mambo ya kuzingatia.
Basi pia hizi hoteli, gesti na logde ziwajali wateja wao wapate muda wa kupumzika sio kuwafukuza kisa umeweka tu muda mwisho saa 4.
Ama wengine kuingia mwisho saa 5 usiku.
Ama mnasemaje wadau?
Kuna gest niliwahi lala mabibo siikumbuki jina ina korido ndeefu afu milango imechokachoka.Hasa Sinza na Manzese