Utaratibu wa kuachia vyumba kwenye Hotel, Lodges na Guest House ni wa udhulumaji

tatizo mnalala geust za bei poa za waswahili hebu jalibun hata hotelin we unalipia chumba elfu kumi na tano kushuku afu unataka kulala masaa 24 kuwen serious bas tafuten hela angala mi nikikodig vyumb vya bei hyo huwa nalipia siku tatu hata kama nakaa saa moja
 
Ni utaratibu wa kitapeli kuna siku nimetoka dar nakwenda mbeya sasa lengo langu niishie mafinga nikachukue cheti shule niliyosoma

Nikapanda basi la jion mafinga nilifika saa kumi na moja nilikutana baridi matata nikaona ngoja nichukue chumba ili niamke jua likishachomoza niende shule nikachukue cheti

Basi nimelala jumlisha uchovu wa safari na ile bard nashangaa nakuja kugongewa mlango saa 3 kuambiwa nianze kujiandaa kuachia chumba nje kuna baridi kali hata jua halijatoka basi kinyonge nimeamka lkn niliona utaratibu sio ule
 
Maelezo haya yamenyooka. Nilikuwa namuunga mkono mleta mada hadi niliposoma hii.
 
Ungelala lodge za 'kulekule' karibu na JJ Mungai au Changarawe.

Down Town nafikiri bado itakua ipo inafanya kazi
 
Halafu muda wa short time sijui ni masaa mangapi......manake hakuna kitu kinafedhehesha kama mlango kugongwa ukiwa ndani ya uchi wa mwanamke......
 
Mimi na dukuduku lingine kuna wahudumu wana tabia ya kuku subirisha waka kague mashuka kama kuna tope utazani kila mtu ni firauni shenzi sana hawa
 
Nilikuwa naenda jj mungai alafu
Shule yangu hiyo enzi za Usangira. Yaani kila asubuhi tukiamka, makaburini kuna kaburi jipya linachimbwa. Watu walikuwa wanakufa sana aisee

Tumeanza shule tukiwa waoga wa makaburini lakini mpaka tunamaliza shule tushakua wazoefu kabisa wa makaburi, saa 8 usiku mtu unakatiza, hapo umetoka Club Shimoni aka Ebony
 
Miaka gani hiyo mi nimemaliza 2016 advance pale
 
Halafu muda wa short time sijui ni masaa mangapi......manake hakuna kitu kinafedhehesha kama mlango kugongwa ukiwa ndani ya uchi wa mwanamke......
Hii inakera sana. Niliwahi book showtime wakati najiandaa na game ndom hakuna.
Ikabidi nitoke nje nikatafute zana.
Nafika naambiwa muda umeisha.
Nilijitetea sana, nikaambiwa ona wateja wanasubiria.
Nikataka nilete songombingo. Ndo nikaruhusiwa.
Mchuchu yuko ndani anasubiria.
Nilipiga show kinyonge sana sababu walishanichanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…