Utaratibu wa kufuata ili kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mazungumzo binafsi

Utaratibu wa kufuata ili kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mazungumzo binafsi

Wakuu hodi humu ndani,kwanza napenda kuwasalimu woote mliopo humu Jf.
Napenda kuomba msaada namna au utaratibu ambao nitafanikiwa kuonana na mtukufu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dr. John Pombe Joseph Magufuli.Nina haja ya kuonana nae kwaajili ya kukamilisha ndoto zangu,na pia Nina ushauri maalumu kwake.
Asanteni naomba msaada.
Mungu awabariki.
 
Lazima uwe walau mbakaji na awe ameamua kukusamehe.
Eeee bwana!!
 
Ndugu zangu watanzania ambao mara nyingi tunakutana hapa jukwaani kwa lengo la kuelimishana na kutiana maarifa kwa nyuzi mbalimbali ambazo ni educative, niko mbele yenu kuomba msaada au kujua utaratibu wa kufuata ili nipate kuonana na mh rais Magufuri kwani nina jambo ambalo linaweza kutusaidia kama taifa endapo tu litakuwa implemented.

Karibuni kwa wale wenye ufahamu wa mambo haya ya kupata appointment na mh rais wa Tanzania.
 
Kama vipi muandikie barua,
unaweza kionana nae labda 2019
 
Vaa bullet proof ya tindikali, na pia uwe bubu ukionana naye kwani ukiongea kwa hasira kuna uwezekano mkubwa ukapotea hapa duniani.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Hapo vip!
Mimi ni Victims wa ukosefu wa ajira japo kujijiajiri ndio focus yangu kubwa.

Lakini changamoto tulionayo ni mitaji,baadhi ya vijana tuna mawazo mazuri ya biasha na projects mbalimbali za maendeleo lakini haya yote yanaitaji financial support...

Mfano mimi baada ya kumaliza degree yangu,niliangaika kutafuta kazi passipo mafanikiwa lakini hii hali imenifanya nione fursa za uwekezaji katika biashara lakini changamoto ni mtaji.

I wish nipate nafasi ya kuonana na Rais nimpe Business plan yangu then anifainance... japo kuonana nae duh nadhani mpaka niwe maarufu au mkubwa serikalini,Ndio ninavyoona mimi.

Waungwana ukitaka kuonana na mtu mzito kama huyu what is the way forward?
 
Jifunze kwanza kuandika neno Nadhani, Jifunze Pia kuandika neno Mafanikio, baada ya hapo watakuambia mtaji sio Ishu, Ishu ni wazo ulilonalo.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji kuongea nae baadhi ya mambo kama mtanzania mwenzake . Kuna baadhi ya mambo nimeyapatia ufumbuzi hasa Ajira ila sasa kwa kuanzia ndio sijui.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji kuongea nae baadhi ya mambo kama mtanzania mwenzake . Kuna baadhi ya mambo nimeyapatia ufumbuzi hasa Ajira ila sasa kwa kuanzia ndio sijui.
kama unaushauri Wa ajira peleka ofisi Utumishi au kwa katibu Mkuu wizara ya kazi na ajira! huko ndiko mikono ya raisi inakoanzia!!!! vinginevyo kiusalama huenda unataka kumzuru raisi kupitia umesenja, HUATARUHUSIWA
 
Back
Top Bottom