Magweiga
Member
- Jul 27, 2013
- 30
- 10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaenda kumsemea mtu huyuHana matatizo omba apointimenti na ueleze unayotaka kwenda kuongelea
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Vaa bullet proof ya tindikali, na pia uwe bubu ukionana naye kwani ukiongea kwa hasira kuna uwezekano mkubwa ukapotea hapa duniani.
Aisee, bora nipambane na hali yangu.Inawezekana lakini itachukua muda mrefu sana.
kama unaushauri Wa ajira peleka ofisi Utumishi au kwa katibu Mkuu wizara ya kazi na ajira! huko ndiko mikono ya raisi inakoanzia!!!! vinginevyo kiusalama huenda unataka kumzuru raisi kupitia umesenja, HUATARUHUSIWAKama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji kuongea nae baadhi ya mambo kama mtanzania mwenzake . Kuna baadhi ya mambo nimeyapatia ufumbuzi hasa Ajira ila sasa kwa kuanzia ndio sijui.
Unaanza kwa kuwa na kadi ya chama cha kijani.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji kuongea nae baadhi ya mambo kama mtanzania mwenzake . Kuna baadhi ya mambo nimeyapatia ufumbuzi hasa Ajira ila sasa kwa kuanzia ndio sijui.