Utaratibu wa kugawa chakula usiku wa manane kwenye harusi haufai

Utaratibu wa kugawa chakula usiku wa manane kwenye harusi haufai

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Nimehudhuria harusi ya jamaa yangu hadi muda huu saa 5 hatujala,

Kwenye kuomba mchango wanapiga simu hadi kero, tukihidhuria harusi tule japo kuku, mnatupa viporo usiku saa 7

Wapo wanatuomba zawadi na kushindanisha Yanga na Simba, kututaja majina na mambo mengine ya kijinga
Wametupa bia Nazo zimeisha sijui na kulewa hatujalewa

Chakula Bado na njaa inauma sana usiku huu

Sichangii tena harusi, kama utaratibu wa kutupa kuku ni usiku wa manane
 
Back
Top Bottom