Utaratibu wa kugawa chakula usiku wa manane kwenye harusi haufai

Utaratibu wa kugawa chakula usiku wa manane kwenye harusi haufai

Tatizo ni kwamba wakitoa mapema hivyo vitu atabaki bibi/ bwana harusi tu humo ukumbini
 
Inategemeana kuna harusi ukiingia tu zile bites ushashiba ukiweka hapo na grandmalt zako unaondoka mapema

Lakini kuna hizi nyingine za kusubiria chakula saa saba kwa kweli huwa nasema kila la kheri kwa wanandoa narudi zangu kula kwetu
 
Mkuu hapo umefeli,siku hizi msosi huw unachelew kusudi tu litimie jambo lililokusudiwa maan siku hizi pia watu wakitanguliziw msosi tu kweny sherehe mnaweza kujikuta wanafamilia wenyew ukumbin
 
Back
Top Bottom