Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Mimi harusi za usiku zimenishinda kwa sasa siendi kwangu ni mateso ikifika saa sita usiku sitoboi zaidi ya hapo usingizi debe nzima sembuse kusubiria chakulašNa domo likishaanza kuoza hata ladha ya chakula husikii.
Najitahidi kubugia maji angalau domo likae sawa.