Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ukiwa na harusi na watu wasile utajisikiajeIla Kutoka Nyumbani kwenda Harusini Bila Kula nayo ni Kipaji aisee, Yani unatoka home kabisa ukitegemea Msosi wa Harusini ambao hauna Ratiba maalum kwa kweli inashangaza sana
Ni hiyo tu ya jamaa akoNimehudhuria harusi ya jamaa yangu hadi muda huu saa 5 hatujala,
Kwenye kuomba mchango wanapiga simu hadi kero, tukihidhuria harusi tule japo kuku, mnatupa viporo usiku saa 7
Wapo wanatuomba zawadi na kushindanisha Yanga na Simba, kututaja majina na mambo mengine ya kijinga
Wametupa bia Nazo zimeisha sijui na kulewa hatujalewa
Chakula Bado na njaa inauma sana usiku huu
Sichangii tena harusi, kama utaratibu wa kutupa kuku ni usiku wa manane
Kumbe uko hapa jijin sasa mchecheto wanin hapa mji haulali unaweza kuchomoka nje ukapga ubwabwa wabuku jero kujipozaNimechanga laki
Nimesafiri kuja Dar kutoa support
Jamaa ana njaa eti! 😄Dah pole sana hapo nashauri usile kwa hasira utaumiza afya Yako chukua kipaja Cha kuku na tunda basi
Hatushauri kula sana usiku
Kama Ni Ivo asuburi Kula icho Kiporo cha Saa saba na what if ana Changamoto za Kiafya Huoni itamletea usumbufu usio na maana?We ukiwa na harusi na watu wasile utajisikiaje
laZima tule kwenye harusi kama kuonesha ushirikiano sio kwamba eti majumbani kwetu hamna vyakula
We una dharauKama Ni Ivo asuburi Kula icho Kiporo cha Saa saba na what if ana Changamoto za Kiafya Huoni itamletea usumbufu usio na maana?
Mimi nkienda kwenye harusi natoka Nimekula kabisa nikifika Kule ni Vyombo na msosi kama utapita on time ntakula kiasi ila Kwenda Harusini totally na Kutegemea Ratiba ya Chakula ambayo sijui kwa kweli ilo hapana
Nimecheka mno🤣😂😅Shida ya Africa ni njaa. Kuna wengine wakila wanasepa. Sasa dawa Yao ni hiyo. Mpka wakome.
Kuna sherehe nyingine mnawekewa karanga mbichi na za kukaanga. Wanajua njaa ikiwauma mtakula karanga matumbo yatajaa chakula hamtakula sana. Kumbe bajeti ya chakula walipiga panga. Wanamwambia MC awakukbushe watu kula karanga hahaaaaaa huwa nawachora then nacheka kama Magu sherehe hizi shenzi sana
Waswahili mnajitakia harusi ni la kifamilia zaid nyie mnajioeleka kutafta nnKuna harusi tuliwahi kula Alfajiri
Ndugu yangu uswahilini kuna vituko sana acha tu.Nimecheka mno🤣😂😅
Kwamba wanaona wakigawa chakula ukumbini atabaki bibi na Bwana harusi tu🤣Ndugu yangu uswahilini kuna vituko sana acha tu.
Kuna harusi moja tulienda muda kidogo tena ilikuwa siyo dar ni huko mkoani. Yaani ukiingia tu mlangoni na kadi yako unapewa kifuko Cha lambo kile cheusi kabla havijapigwaarufuku. Kile kimfuko kina soda mbili na maji ya uhai yale ya mia tatu. Washamlizana na wewe hapo chakula ni saa tano na hapo mmeingianukumbini saa moja. Sasa jichanganye umalize maji yako hakuna hata wa kumuomba maana kila mtu ana maji moja kama wewe. Bia kujitegemea.