Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Jan 12, 2025 #101 Sherehe ni watu na sio msosi
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 11,786 Reaction score 18,562 Jan 12, 2025 #102 Tatizo ni kwamba wakitoa mapema hivyo vitu atabaki bibi/ bwana harusi tu humo ukumbini
Hope urassa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2017 Posts 4,230 Reaction score 10,650 Jan 12, 2025 #103 Inategemeana kuna harusi ukiingia tu zile bites ushashiba ukiweka hapo na grandmalt zako unaondoka mapema Lakini kuna hizi nyingine za kusubiria chakula saa saba kwa kweli huwa nasema kila la kheri kwa wanandoa narudi zangu kula kwetu
Inategemeana kuna harusi ukiingia tu zile bites ushashiba ukiweka hapo na grandmalt zako unaondoka mapema Lakini kuna hizi nyingine za kusubiria chakula saa saba kwa kweli huwa nasema kila la kheri kwa wanandoa narudi zangu kula kwetu
MbwamboE Senior Member Joined Aug 14, 2024 Posts 184 Reaction score 300 Jan 12, 2025 #104 Mkuu hapo umefeli,siku hizi msosi huw unachelew kusudi tu litimie jambo lililokusudiwa maan siku hizi pia watu wakitanguliziw msosi tu kweny sherehe mnaweza kujikuta wanafamilia wenyew ukumbin
Mkuu hapo umefeli,siku hizi msosi huw unachelew kusudi tu litimie jambo lililokusudiwa maan siku hizi pia watu wakitanguliziw msosi tu kweny sherehe mnaweza kujikuta wanafamilia wenyew ukumbin