Utaratibu wa Kukaguliwa ticket zaidi ya Mara 3 ktk basi unakera

Umetoka Dar to Arusha, now unatoka moshi kuitafuta arusha labda upo pale boma jamaa anaanza kupitapita kukagua ili kukusanya 3000 ya abilia waliopandia moshi, wanakera sana kwa anayekusanya maana anakuwa si konda mliyeanza naye safari so lugha kali nk ndizo zinatawala na wenye mabasi hawajui hii kitu maana hata hizo 3000 hazifiki kwao pamoja na kwamba hawatoi tiketi.
 
Utakuwa unapanda basi za bei rahisi. Panda Full Luxury Bus uone kama utadaiwa ticket hata mara moja [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Waendelee kukagua. Nishawahi kupanda basi njombe-makete. Wakati nipo njiani mpenzi wangu akanipigi simu amerudi likizo ya shule kama mimi yupo ndani ndani kuna sehemu inaitwa zambia yaani Bulongwa kwa mbele yaani Kipagalo unapita.
Akili ya kiuanafunzi ikanambia tupa tiketi halafu vunga mpaka mwisho na nikafanikiwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…