ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Habari Wana jamvini!
Nchi nyingi za nje ya Tanzania Kuna utaratibu ukishakata ticketi ukapanda kwenye basi hautasumbuliwa mpaka unafika pahala unapokwenda.
Ila Kwa Tanzania imekuwa Kero kubwa sana, ukipanda basi labda Dar mpaka ufike mwanza utakaguliwa ticketi na watu zaidi ya watatu tofauti tofauti, na pengine unaumwa au umelala utaamshwa leta ticketi, wengine tunaficha ticketi mpaka kwenye Boca basi utahitajika kuitoa. Ni utaratibu wa kijinga sana, japo wengine wanaweza wasione ni jambo kubwa Ila mamlaka iingilie Kati, kwani tunawaleteaga usumbufu usio wa lazma wageni mbalimbali kutoka nje.
Pia kumekuwa na uwongo mwingi sana juu ya muda wa kuondoka kwa baadhi ya mabasi, ukienda stand unaweza ukaambiwa gari inaondoka Saa mbili ukikata ticketi utasubiri mpaka saa nne. Hivi watanzania kwanini ni waongo kuanzia wanasiasa Hadi raia