[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi naomba unieleweshe kidogo mdogo angu. Kwa mfano wewe ndiyo ukatangulia kuolewa; huyo dada ako utakuwa umemvua nguo kivipi kwa kuolewa kabla yake?
Haya machungu yanatokana na kunyooshewa vidole na jamiiNa wengi wanaishi na machungu mengi ili kufuraisha jamii loh, honestly Mimi furaha na amani ya moyo wangu Ni muhimu kuliko jamii wanachofikiria
Nipo above mkuu@Saint Anne nimeona una kitu, kwa hiyo kama upo below 26 years fanya mpango tuziunganishe koo zetu ziwe ndugu.
Teta nami mrembo tuitende kazi ya bwana.. naomba unipatie yako nafsi tujinafasi,nipate wako wasaa nikupe na motokaa!.. Nikubali laaziz sitakupa kizizi! Njoo nikuonyeshe mapenzi na nikuenzi kwa tenzi,toka ktk kinywa Cha kenzy nikupe mapenzi..πHehheehheee sawa Muinjilisti
Hili nalo nenoMsipende kulazimisha Mambo, kila jambo likuepukalo Lina heri Kuna vitu vya ku force Ila sio ndoa
Tena wavae uhusika kamili ili kutoa elimu kwa siku zijazoLakini hapa JF, na sehemu nyingine nyingi tu nimepata kusikia watu wakisema "Ndoa upangwa na Mungu!"
Na pia nimepata kusikia sehemu nyingi, na kwa mambo mbali mbali watu wakisema "Mungu humpa amtakae, na kumnyima amtakae"!
Am not sure with of the above arguments lakini cariha hapo kazungumzia issue ya Raheli huku Saint Anne, your user ID says it all! I mean, you're probably some kind of religious guys, na kama ndivyo si ajabu mnakubaliana na hizo arguments hapo juu!!
Now tusema cariha ni mdogo kwa Saint Anne lakini arguments zote mbili hapo juu zinam-favor cariha over Saint Anne, and thanks God, wazazi wenu wamewapa mamlaka ya kuamua mambo yenu!
My first question to y'all: Je, mnakubaliana na hizo arguments 2 hapo juu?
2. Je, Saint Anne utamkataza mdogo wako cariha kuolewa kwa sababu tu wewe bado network haisomi?!
3. Nawe cariha, pamoja na upendo wako wote kwa mchumba wako ambae unamuona he's everything kwako, utagoma kufunga nae ndoa kwa sababu dada yako Saint Anne argument ya kwanza na ya pili hapo juu hazijatimia kwa upande wake?!
Karibuni tafadhali mtu na dadake!!!
Ndoto zangu ni muhimu Sana kutimiza, na lazima zitimie nyingine ziko tayari kutimia, and I don't believe kuwa marriage will complete me as society view, so niwe na marriage au Sina I'm okay and I'm happy with my life@cariha haupo sahihi kabisa dada yangu
Kwa hiyo kama hutotimiza ndoto zako hutoolewa?
Jamii yetu Ina unafiki Sana, imagine vitu vinaumiza wengi yet watakwambia vumilia ndio ndoa zilizo etiHaya machungu yanatokana na kunyooshewa vidole na jamii
Hahahahah umemvuaje nguo? Yeye muda anagoma kutoa namba ya simu alikuwa anafikiria niniπ€£π€£π€£Mimi siwezi kumkataza mdogo wangu kufunga ndoa ila yeye mwenyewe anapaswa ajiongeze,avute japo kamuda ili nitoke kwanza (hii ni kama nina dalili za kuolewa)
Kama alishamleta mtu nyumbani basi sina budi kukubali japo najua wazazi watajisikia vibaya kwa Sababu yangu na Mimi mwenyewe nitajisikia unyonge.
Nikijizungumzia binafsi,Mimi ni mtoto wa mwisho kwetu.
Juzi tu dada yangu amenitamkia kwamba mdogo wangu ukipata mchumba olewa ila jua utakuwa umenivua nguo Mimi dada yako.Nimepishana naye miaka 9.
Kauli yake hii ilinifanya nitafakari.
Haya maneno aliyasema mwenzio ambaye amekuja kutafuta mwenza siku si nyingi baada ya kujipa kiburi kisa ameshapata mtoto na kazi anaweza kulea. Mwanaume ni kama maji, utaruka ruka ila ipo siku utarudi kinyonge ukitaka ambae anapumua tu πππ!Ndoto zangu ni muhimu Sana kutimiza, na lazima zitimie nyingine ziko tayari kutimia, and I don't believe kuwa marriage will complete me as society view, so niwe na marriage au Sina I'm okay and I'm happy with my life
Sasa hayo maneno ka alisema mwenzangu ni yeye na sio Mimi kila mtu na priority yangu, na siwezi Anza tafta mwanaume wakati Mimi na malengo na ninajua ninachokitaka hata huyo aliyeamua kutafta ameona mda sahihi kwake so sioni tatizo hapo,Haya maneno aliyasema mwenzio ambaye amekuja kutafuta mwenza siku si nyingi baada ya kujipa kiburi kisa ameshapata mtoto na kazi anaweza kulea. Mwanaume ni kama maji, utaruka ruka ila ipo siku utarudi kinyonge ukitaka ambae anapumua tu [emoji23][emoji23][emoji23]!
Hivi hamjifunzi kwa mnayoyaona kwenye jamii jamani. Aunt Ezekiel ni mtu wa kuzaa na watoto kama kina Kusah? How many potential guys walimfata on her prime akazingua na umjini mjini mwingi?
Dah hatari sana, umeongea kwa hasira kichizi πππ ila sio kesi! Tukutane awamu ya 6Sasa hayo maneno ka alisema mwenzangu ni yeye na sio Mimi kila mtu na priority yangu, na siwezi Anza tafta mwanaume wakati Mimi na malengo na ninajua ninachokitaka hata huyo aliyeamua kutafta ameona mda sahihi kwake so sioni tatizo hapo,
Pia Hadi nikizaa na kulea nimeamua Wala hakihusikani na jinsia flani so hyo statement wanaume maji huwa ni misemo ya wanaume wasio jiamini wanaopenda kushindana na wanawake na kutakata kupangia wanawake maisha, so hata wanawake wakiwa single wanalea wenyewe iweje wewe mwanaume uumie ka si tatizo, honestly Mimi siwezi umizwa na maisha ya mtu aliyeamua kuwa single, kuzaa na kulea I have a lot of my own stuff to deal with rather ya kuhangaika na watu wengine sijui wameolewa wakati ndoa huku ni taasisi ya wanafiki wengi.
Pia aunty Ezekiel ni mtu mzima ana haki ya kuzaa na mwanaume anayemtaka na mbegu yoyote so sioni shida kuanza kumhukumu, maana kwisa naye ni mwanaume ka wanaume wengine, wewe unaona wa maana Aunt ezekiel hakuwapendi. Tujifunze kuheshimu choice za watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahah umemvuaje nguo? Yeye muda anagoma kutoa namba ya simu alikuwa anafikiria nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata Sina hasira yoyote mbona tena tukutane awamu ya kumi huko nikiwa kibibiDah hatari sana, umeongea kwa hasira kichizi [emoji23][emoji23][emoji23] ila sio kesi! Tukutane awamu ya 6
Kuna ndoa nzuri TU Cariha. Unazozisikia mbaya Ni chache. Changamoto zipo.Jamii yetu Ina unafiki Sana, imagine vitu vinaumiza wengi yet watakwambia vumilia ndio ndoa zilizo eti
Unataka kutimiza ndoto gani my dear?..Hebu niweke wazi.Familia muhimu, Ila yapasa kujiandaa as a woman lazima utimize ndoto zako kwanza since ukiingia ndoani lazima uzike ndoto zako Kama ulikuwa hujazitimiza.