Lakini hapa JF, na sehemu nyingine nyingi tu nimepata kusikia watu wakisema "Ndoa upangwa na Mungu!"
Na pia nimepata kusikia sehemu nyingi, na kwa mambo mbali mbali watu wakisema "Mungu humpa amtakae, na kumnyima amtakae"!
Am not sure with of the above arguments lakini cariha hapo kazungumzia issue ya Raheli huku Saint Anne, your user ID says it all! I mean, you're probably some kind of religious guys, na kama ndivyo si ajabu mnakubaliana na hizo arguments hapo juu!!
Now tusema cariha ni mdogo kwa Saint Anne lakini arguments zote mbili hapo juu zinam-favor cariha over Saint Anne, and thanks God, wazazi wenu wamewapa mamlaka ya kuamua mambo yenu!
My first question to y'all: Je, mnakubaliana na hizo arguments 2 hapo juu?
2. Je, Saint Anne utamkataza mdogo wako cariha kuolewa kwa sababu tu wewe bado network haisomi?!
3. Nawe cariha, pamoja na upendo wako wote kwa mchumba wako ambae unamuona he's everything kwako, utagoma kufunga nae ndoa kwa sababu dada yako Saint Anne argument ya kwanza na ya pili hapo juu hazijatimia kwa upande wake?!
Karibuni tafadhali mtu na dadake!!!