Au Mapenzi yaliku jeruhi Sana... Mbona unachukia vitu vizuri?. Tena unachuki Sana na wanaume why?.Na wengi wanaishi na machungu mengi ili kufuraisha jamii loh, honestly Mimi furaha na amani ya moyo wangu Ni muhimu kuliko jamii wanachofikiria
Hahaaa mapenzi yanijeruhi yamekuwa semitrela useme yangenikanyaga, pia Mimi sichukii jinsia yoyote ni misimamo yangu tu tangu utotoni sijui hata wanaume, misimamo yangu mingi iko tofauti na ya wanajamii wengi, so hubaki tu kunishangaa kumbe Mimi na peace kinyama kuliko wanaojifanya malaikaAu Mapenzi yaliku jeruhi Sana... Mbona unachukia vitu vizuri?. Tena unachuki Sana na wanaume why?.
Ndoto zangu kichwani, na vision zangu so hata nikikwambia hutaelewa na ukijaribu waweza kwama kabisa, ujue tumezaliwa tofauti kitabia na kihulkaUnataka kutimiza ndoto gani my dear?..Hebu niweke wazi.
Inawezekana na Mimi nikapambana kuzipigania Kama Wewe.
Ndoa ni Jambo la heri na kitu kizuri kilichowekwa na Mungu but to me Hilo jambo ni least of my favorite ya vitu vyangu ninavo vipenda Sana [emoji23][emoji23]nikiambia watu hvo hujua na pepo kumbe wallah, naweza kuwa na kila kitu lakini nayo isinifanye nikaingia kwenye hyo taasisi, but Kuna vitu huwa napenda kuvifanya vinavonifuraisha moyo wangu na ndio huwa nasali kila siku Mungu anisaidie niweze kuvifanya na ku impact maisha ya wengine hyo ndio greatest success kwenye maisha yanguKuna ndoa nzuri TU Cariha. Unazozisikia mbaya Ni chache. Changamoto zipo.
Sasa ukijenga gorofa na ukawa na magari matatu na mabilion kwenye account. Then ndo utafute mume?.
hizo ndoto zako unazozipigania sijui unataka kutimiza nini...ila kuwa na mwenza NI JAMBO ZURI Tena Mungu ndo anasisitiza.
Mungu hakusema mwanamke Awe na majumba ya kifahari ndo aeolewe.. utampata mtu wakukupendea Mali yako.
Na anaweza akakufilisi kabisa.
Duh! Hilo gap sio la nchi hii!! It's obvious nawe utakuwa ni last born au ilibaki kidogo tu uwe last born!!Kama unanisema Mimi, nilipokuwa 20s wazazi wangu walikuwa 60s
Na fimbo pia mmezikulaDuh! Hilo gap sio la nchi hii!! It's obvious nawe utakuwa ni last born au ilibaki kidogo tu uwe last born!!
Sie ma-first born huwa tunaila sana mishahara ya wazazi manake binafsi naajiriwa kwa mara ya kwanza, Bi mkubwa bado alikuwa na miaka kibao kabla hajastaafu!!
Hakuna watu wanakula hela kama ma1st born.Duh! Hilo gap sio la nchi hii!! It's obvious nawe utakuwa ni last born au ilibaki kidogo tu uwe last born!!
Sie ma-first born huwa tunaila sana mishahara ya wazazi manake binafsi naajiriwa kwa mara ya kwanza, Bi mkubwa bado alikuwa na miaka kibao kabla hajastaafu!!
NonsenseLazima mkubwa aolewe kwanza hujui tu maana yake wazee wanajua miiko, kumbuka hata kwenye bible Raheli alipendwa Ila siku ya harusi yake akawekwa dada yake badala yake ili aolewe kwanza ndio afate, I think huu usasa tunaoiga una walakini.
Okay[emoji122][emoji122]Nonsense
Nakutakia KILA la kheri Mkuu... Ukafinikishe ndoto zakoNdoa ni Jambo la heri na kitu kizuri kilichowekwa na Mungu but to me Hilo jambo ni least of my favorite ya vitu vyangu ninavo vipenda Sana [emoji23][emoji23]nikiambia watu hvo hujua na pepo kumbe wallah, naweza kuwa na kila kitu lakini nayo isinifanye nikaingia kwenye hyo taasisi, but Kuna vitu huwa napenda kuvifanya vinavonifuraisha moyo wangu na ndio huwa nasali kila siku Mungu anisaidie niweze kuvifanya na ku impact maisha ya wengine hyo ndio greatest success kwenye maisha yangu
Amen amen my dearNakutakia KILA la kheri Mkuu... Ukafinikishe ndoto zako
Nipe connection za huyo dada nitangaze ndoaHabari zenu wana MMU nawasalimu
Nianze kwa kusema ndoa ni rizki, ndoa ni bahati, ndoa ni baraka sasa kuna mila na desturi za ndoa ambazo ni za kishamba katika jamii zetu ambazo bado tunazikumbatia bila maana yoyote.
Ipo hivi mwanzoni mwa mwaka huu kuna rafiki yangu wa karibu alidhamiria kuaga ukapela hivyo basi akajitoa kimasomaso kuchumbia binti katika familia flani na mchakato ukaanza chapchap Mungu si Athuman barua ya uchumba ikakubaliwa kisha tarehe ya kikao/siku ya kupeleka mahari ikapangwa.
Mungu ni mkubwa siku iliwadia na mara baada ya zoezi la kupokea mahari kuisha basi bana utata ukaanzia pale tulipo wapa tarehe tulio kusudia kuja kuoa ili kama kuna la kujadili tuwekane sawa kabisa maana tulihitaji kuondoka na tarehe rasmi ya siku ya ndoa.
Nakumbuka wanafamilia wa binti walianza kuongea kwa minong'ono kisha babu alianzisha hoja na malumbano ya hoja yakanzia hapo.
Upande wa binti wakadai kuwa haiwezekani mdogo mtu aolewe kabla ya dada yake eti ni dharau, aisee tulijitahidi kuwaelimisha kadri ya uwezo wetu kuwa ndoa ni rizki inayopangwa na Mungu hivyo sisi wanadam hatuwezi kuisitishaa ndoa ya binti yao mdogo eti kisa dada yake bado hajaolewa wakati dada mtu hata kuchumbiwa tu haijulikani atachumbiwa lini lakini wapi familia ya yule bint ilishikilia msimamo wake hadi ikatubidi tuondoke bila jibu la maana na kuahidi kurudi siku nyingine
Ikapita kama mwezi hivi tukaomba kikao kingine nakumbuka kwenye kikao hicho tulishirikisha na viongozi wa dini lakini wapi familia ya binti ilisimamia msimamo wake na kuweka wazi kuwa hadi mkubwa aolewe ndio mdogo nae ataolewa
Ila safari hii hatukuondoka mpaka tulipo kubaliana na tukawapa miezi 4 kama bint yao mkubwa atakua hajachumbiwa basi ndoa ya binti yao mdogo itafanyika na kama atakua amechumbiwa basi tutakuwa radhi kusubiria.
Sasa ile miezi imeshatimia na panapo majaaliwa siku ya kesho tunarudi tena huko ukweni ili kufahamu ni ipi hatma ya ndoa hii tarajiwa maana kwa taarifa tulizonazo hadi wakati huu yule binti yao mkubwa bado hajachumbiwa
Waungwana nakaribisha ushauri wenye kujenga katika hili.
Ahsanteni
USIJE...PM.swali lako Bako nalo.CreditAnalyst nina jambo moja nataka nikwambie na moja nataka nikuulize...
Sijui unanirhusu kuja PM
Ndoa ilipita ndugu japo kuna baadhi ya mashangazi na wajomba wa bibi harusi hawaku hudhuria harusiniVp mrejesho mkuu ulioa au ulighairi
Ndoa ni Jambo la heri na kitu kizuri kilichowekwa na Mungu but to me Hilo jambo ni least of my favorite ya vitu vyangu ninavo vipenda Sana [emoji23][emoji23]nikiambia watu hvo hujua na pepo kumbe wallah, naweza kuwa na kila kitu lakini nayo isinifanye nikaingia kwenye hyo taasisi, but Kuna vitu huwa napenda kuvifanya vinavonifuraisha moyo wangu na ndio huwa nasali kila siku Mungu anisaidie niweze kuvifanya na ku impact maisha ya wengine hyo ndio greatest success kwenye maisha yangu
Jisemee nafsi yako usiseme wengine hata kaburini utakuwa mwenyeweSizitaki mbichi hizi
Sungura akasema