Utaratibu wa kulazimisha mtoto wa kwanza kuanza kufunga ndoa kwanza kisha ndio wafuate wadogo zake

Utaratibu wa kulazimisha mtoto wa kwanza kuanza kufunga ndoa kwanza kisha ndio wafuate wadogo zake

Na wengi wanaishi na machungu mengi ili kufuraisha jamii loh, honestly Mimi furaha na amani ya moyo wangu Ni muhimu kuliko jamii wanachofikiria
Au Mapenzi yaliku jeruhi Sana... Mbona unachukia vitu vizuri?. Tena unachuki Sana na wanaume why?.
 
Au Mapenzi yaliku jeruhi Sana... Mbona unachukia vitu vizuri?. Tena unachuki Sana na wanaume why?.
Hahaaa mapenzi yanijeruhi yamekuwa semitrela useme yangenikanyaga, pia Mimi sichukii jinsia yoyote ni misimamo yangu tu tangu utotoni sijui hata wanaume, misimamo yangu mingi iko tofauti na ya wanajamii wengi, so hubaki tu kunishangaa kumbe Mimi na peace kinyama kuliko wanaojifanya malaika
 
Unataka kutimiza ndoto gani my dear?..Hebu niweke wazi.

Inawezekana na Mimi nikapambana kuzipigania Kama Wewe.
Ndoto zangu kichwani, na vision zangu so hata nikikwambia hutaelewa na ukijaribu waweza kwama kabisa, ujue tumezaliwa tofauti kitabia na kihulka
 
Kuna ndoa nzuri TU Cariha. Unazozisikia mbaya Ni chache. Changamoto zipo.

Sasa ukijenga gorofa na ukawa na magari matatu na mabilion kwenye account. Then ndo utafute mume?.

hizo ndoto zako unazozipigania sijui unataka kutimiza nini...ila kuwa na mwenza NI JAMBO ZURI Tena Mungu ndo anasisitiza.

Mungu hakusema mwanamke Awe na majumba ya kifahari ndo aeolewe.. utampata mtu wakukupendea Mali yako.

Na anaweza akakufilisi kabisa.
Ndoa ni Jambo la heri na kitu kizuri kilichowekwa na Mungu but to me Hilo jambo ni least of my favorite ya vitu vyangu ninavo vipenda Sana [emoji23][emoji23]nikiambia watu hvo hujua na pepo kumbe wallah, naweza kuwa na kila kitu lakini nayo isinifanye nikaingia kwenye hyo taasisi, but Kuna vitu huwa napenda kuvifanya vinavonifuraisha moyo wangu na ndio huwa nasali kila siku Mungu anisaidie niweze kuvifanya na ku impact maisha ya wengine hyo ndio greatest success kwenye maisha yangu
 
Kama unanisema Mimi, nilipokuwa 20s wazazi wangu walikuwa 60s
Duh! Hilo gap sio la nchi hii!! It's obvious nawe utakuwa ni last born au ilibaki kidogo tu uwe last born!!

Sie ma-first born huwa tunaila sana mishahara ya wazazi manake binafsi naajiriwa kwa mara ya kwanza, Bi mkubwa bado alikuwa na miaka kibao kabla hajastaafu!!
 
Na fimbo pia mmezikula
 
Hakuna watu wanakula hela kama ma1st born.
Kwanza wao ni wa kwanza kusoma,yaani anavyoenda shule,akilia tu kidogo hela zinamfwata.
 
Lazima mkubwa aolewe kwanza hujui tu maana yake wazee wanajua miiko, kumbuka hata kwenye bible Raheli alipendwa Ila siku ya harusi yake akawekwa dada yake badala yake ili aolewe kwanza ndio afate, I think huu usasa tunaoiga una walakini.
Nonsense
 
Hizi ni tamatudini zipo hata kwenye kabila langu sema inaathiriwa na jambo moja tu, si mnajua kwa kipindi hiki cha sasa ukibishiwa hooodii!tumekuja kuleta barua ya uchumba! Ujue tayari walishaoana kitambo kwenye majani huko sasa ukisema wamuoe dada kwanza umesaidia wote waliwe na mme mmoja.

MAGUFULI4LIFE
 
Ndoa ni Jambo la heri na kitu kizuri kilichowekwa na Mungu but to me Hilo jambo ni least of my favorite ya vitu vyangu ninavo vipenda Sana [emoji23][emoji23]nikiambia watu hvo hujua na pepo kumbe wallah, naweza kuwa na kila kitu lakini nayo isinifanye nikaingia kwenye hyo taasisi, but Kuna vitu huwa napenda kuvifanya vinavonifuraisha moyo wangu na ndio huwa nasali kila siku Mungu anisaidie niweze kuvifanya na ku impact maisha ya wengine hyo ndio greatest success kwenye maisha yangu
Nakutakia KILA la kheri Mkuu... Ukafinikishe ndoto zako
 
Habari zenu wana MMU nawasalimu

Nianze kwa kusema ndoa ni rizki, ndoa ni bahati, ndoa ni baraka sasa kuna mila na desturi za ndoa ambazo ni za kishamba katika jamii zetu ambazo bado tunazikumbatia bila maana yoyote.

Ipo hivi mwanzoni mwa mwaka huu kuna rafiki yangu wa karibu alidhamiria kuaga ukapela hivyo basi akajitoa kimasomaso kuchumbia binti katika familia flani na mchakato ukaanza chapchap Mungu si Athuman barua ya uchumba ikakubaliwa kisha tarehe ya kikao/siku ya kupeleka mahari ikapangwa.

Mungu ni mkubwa siku iliwadia na mara baada ya zoezi la kupokea mahari kuisha basi bana utata ukaanzia pale tulipo wapa tarehe tulio kusudia kuja kuoa ili kama kuna la kujadili tuwekane sawa kabisa maana tulihitaji kuondoka na tarehe rasmi ya siku ya ndoa.

Nakumbuka wanafamilia wa binti walianza kuongea kwa minong'ono kisha babu alianzisha hoja na malumbano ya hoja yakanzia hapo.

Upande wa binti wakadai kuwa haiwezekani mdogo mtu aolewe kabla ya dada yake eti ni dharau, aisee tulijitahidi kuwaelimisha kadri ya uwezo wetu kuwa ndoa ni rizki inayopangwa na Mungu hivyo sisi wanadam hatuwezi kuisitishaa ndoa ya binti yao mdogo eti kisa dada yake bado hajaolewa wakati dada mtu hata kuchumbiwa tu haijulikani atachumbiwa lini lakini wapi familia ya yule bint ilishikilia msimamo wake hadi ikatubidi tuondoke bila jibu la maana na kuahidi kurudi siku nyingine

Ikapita kama mwezi hivi tukaomba kikao kingine nakumbuka kwenye kikao hicho tulishirikisha na viongozi wa dini lakini wapi familia ya binti ilisimamia msimamo wake na kuweka wazi kuwa hadi mkubwa aolewe ndio mdogo nae ataolewa

Ila safari hii hatukuondoka mpaka tulipo kubaliana na tukawapa miezi 4 kama bint yao mkubwa atakua hajachumbiwa basi ndoa ya binti yao mdogo itafanyika na kama atakua amechumbiwa basi tutakuwa radhi kusubiria.

Sasa ile miezi imeshatimia na panapo majaaliwa siku ya kesho tunarudi tena huko ukweni ili kufahamu ni ipi hatma ya ndoa hii tarajiwa maana kwa taarifa tulizonazo hadi wakati huu yule binti yao mkubwa bado hajachumbiwa

Waungwana nakaribisha ushauri wenye kujenga katika hili.

Ahsanteni
Nipe connection za huyo dada nitangaze ndoa
 
Ndoa ni Jambo la heri na kitu kizuri kilichowekwa na Mungu but to me Hilo jambo ni least of my favorite ya vitu vyangu ninavo vipenda Sana [emoji23][emoji23]nikiambia watu hvo hujua na pepo kumbe wallah, naweza kuwa na kila kitu lakini nayo isinifanye nikaingia kwenye hyo taasisi, but Kuna vitu huwa napenda kuvifanya vinavonifuraisha moyo wangu na ndio huwa nasali kila siku Mungu anisaidie niweze kuvifanya na ku impact maisha ya wengine hyo ndio greatest success kwenye maisha yangu

Sizitaki mbichi hizi
Sungura akasema
 
Dah sie wa bush lakini hayo mambo hatuyazingatii,mie wadogo zangu watatu waliolewa kabla yangu afu mimi nilkuwa siwazi hata baada ya miaka kama nane nami nkafunga ndoa kimtindo wangu,ila naona wazazi walikuwa wanaumia lakini hawakuwa na ujasiri wa kunambia zaidi ya mama kusema mwanangu mbona umri umekutupa mkono
baada ya kufanya process za kuolewa niliona walifurahi yaani utasema mi ndo wa kwanza kuolewa
 
Back
Top Bottom