FaithClass
Member
- Jul 16, 2023
- 14
- 118
- Thread starter
-
- #21
It is not over until it is over. Kamwe usikate tamaa, madam uko hai.Maisha haya sio kabisa
Hapa nawaza pikipiki niachane na baiskel
Gari najua sio kwa upande wangu
Ajabu kuna mpuuz anawaza ndege
Munguweeeeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣Hukusoma Sasa Kama musuku..uumaUnaifahamu website husika? nimejaribu kuigoogle lakini sijafanikiwa kuipata.
🤣🤣Anamalizia kuangalia asumanii sebuleni kwa shemejiiiUkishakuwa na Mpunga au Acces ya Kumiliki Ndege ndogo huwezi kuja kusaka taarifa Jamvini apa, Subiri Madogo wamalize Kuangalia tamthilia apo Sebuleni, Utandike Ulale
Hata baiskeli huna!!!...Ninamaanisha dege ndogo ya kawaida (aeroplane) yenye uwezo wa kubeba abiria watatu na helikopta yenye uwezo wa kubeba abiria watatu.
Naomba kufahamishwa:
A. Bei yake ikijumuisha gharama za ununuzi, usafirishaji na usajili
B. Makadirio ya gharama za kuihudumuia kwa mwezi. Wastani wa safari zake kwa mwezi ni kutoka Mwanza kwenda Dar Es Salaam Asubuhi na kurudi Mwanza Jioni
C. Kuna ulazima (Kisheria) wa kuwa na "pilot" zaidi ya mmoja?
D. Kuna unafuu wa gharama (tozo za Serikali) ikiwa itamilikiwa na taasisi ambayo ni non-profiti organization?
E. Utaratibu ukoje kuhusu parking?
F. Sheria inaruhsu kupaki helikopta nyumbani au kwenye uwanja wa ofisi ya taasisi?
Ikiwa kuna taarifa zingine zozote ninazopaswa kufahamu naomba nisaidiwe.
Asante.
Hiyo tarmac fee inalipwa kwa muda gani?Wewe kama sio kada wa CCM au bilionea acha tu, tarmac fee tu unanunua IST
That's Bravo RogerNinamaanisha dege ndogo ya kawaida (aeroplane) yenye uwezo wa kubeba abiria watatu na helikopta yenye uwezo wa kubeba abiria watatu.
Naomba kufahamishwa:
A. Bei yake ikijumuisha gharama za ununuzi, usafirishaji na usajili
B. Makadirio ya gharama za kuihudumuia kwa mwezi. Wastani wa safari zake kwa mwezi ni kutoka Mwanza kwenda Dar Es Salaam Asubuhi na kurudi Mwanza Jioni
C. Kuna ulazima (Kisheria) wa kuwa na "pilot" zaidi ya mmoja?
D. Kuna unafuu wa gharama (tozo za Serikali) ikiwa itamilikiwa na taasisi ambayo ni non-profiti organization?
E. Utaratibu ukoje kuhusu parking?
F. Sheria inaruhsu kupaki helikopta nyumbani au kwenye uwanja wa ofisi ya taasisi?
Ikiwa kuna taarifa zingine zozote ninazopaswa kufahamu naomba nisaidiwe.
Asante.
Watanzania wengi wanamiliki hutu tu ndege...panzi....vipepeo....cha ajabu vi charter vya watalii ni vya wazanzibari atii😀😀Nimefarijika kufahamu kuna Watanzania wanaowaza kumiliki ndege zao binafsi. Kumbe hayo mambo yanawezekana pia Tanzania!
Ndege ndogo Cessna grand caravan used....ni bei nafuu kuliko.... unavyofikiri...Ukishakuwa na Mpunga au Acces ya Kumiliki Ndege ndogo huwezi kuja kusaka taarifa Jamvini apa, Subiri Madogo wamalize Kuangalia tamthilia apo Sebuleni, Utandike Ulale
Nenda NIT mtafute capt.Ahmed ni Instructor.....utapata msaada.Asante.
Yap...The second effect of control.....🙂🙂Hongera sana kwa kuwaza hilo.
Zipo used ambazo utapata kuanzia 200m.
Ikiwa nje sasa mengine piga hesabu zako.
Au kusanya ununue mpya tu na ukihitaji pilot naweza kuchukua license nikawa naendesha 😄
Taratibu ni zilezile....ila siku hizi...Kuna mchongo....pilot wa kiushkaji....unarusha mpaka pipa kubwa...big boyMada nzuri. Vipi kuhusu mapanga shaa zile ndogo za kunyunyuzia dawa? Mafunzo ya kuzirusha yanapatikana wapi?
anaujuaji gani au hujui ukiwa na njaa unavyoweza kuwazq vitu vya ajabu ili ujifarijiPunguza ujuaji
Mkuu, comment yako imenichekesha, imenikumbusha jambo fulani lililoonekana kama kituko kipindi hicho.Ndege ndogo Cessna grand caravan used....ni bei nafuu kuliko.... unavyofikiri...
Ni nafuu kuliko Toyota coaster used.
TRUST ME
Siamini kwamba mtoa mada alikuwa na njaa, na kama alikuwa na njaa, basi njaa yake ilikuwa nzuri. Inasemekana, akili humfanya kazi kwa Kasi zaidi mtu anapokuwa na njaa kuliko anapokuwa ameshiba. Shibe huweza kuchochea uvivu wa kufikiri.anaujuaji gani au hujui ukiwa na njaa unavyoweza kuwazq vitu vya ajabu ili ujifariji
Unaweza kuipaki chopa nyumbani?Huwezi kuipaki nyumbani kwako inapaki airport labda iwe helcopter, hapa kuna parking fee, huwezi kuruka bila ruhusa na unalipia ukirusha, hiwezi kutua bila ruhisa na unalipia ukitua. Inshort usumbufu tuou