Utaratibu wa kumiliki silaha za moto ukoje?

Wewe hustahili kumiliki kumiliki Silaha. Wachana nayo.
 
Sina hasira za karibu,.
Asante
 
Asanteni Kwa maoni,. Kuna mtu amenipa ABCs ngoja nijaribu kuzifanyia KAZI kwanza ,.
Nitarudi na mrejesho mda kama huu 2026 panapo majaaliwa🙏🙏

Mbarikiwe
 
Nimesoma comment zako,na najua hali unayoipitia kwa muda huu,

Ushauri wangu kwako ni huu,

Siku zote isipende kuchukua maamuzi yeyote yale unapokua na hasira,majuto ni mjukuu,relax jipe muda,ingekua kila anayetendwa anachukua maamuzi kwa hasira,basi Magereza yangejaa wahalifu,

Kwenye maisha utakutana na mengi, na huwezi kumbadili kila mtu,all you have to do is to learn how to deal with them,kuna maisha baada ya unachokipitia muda huu,remember that.
 
Hamza yule alianza kuwa chawa wa wala nchi,wakamla na yeye,akaumia akasema sikubali,akawala vichwa policcm kadhaa kwa kutoa somo maridhawa kabisa,hata hawakukoma,wakamdaka yule mfanya biashara wa madini kule Mtwara,wakamla yeye na fedha zake,kuna maigizo ya kwamba wamehukumiwa wawili tu,huu ni mzaha!

Sasa njia sahihi kuwa chawa wa mguu nje ndani,hawatakuuliza maswali,miliki halafu tulia waje wapopoe woooooooote ng'oa na visiki labda huenda somo likaeleweka licha ya kwamba vichwa vyao ni vigumu.
 
Nenda kituo cha police watakupa kanuni zote za umiliki pia wao wanawajua wauzaji wakubwa wa siraha watakupa conection.

Kuna jamaa anaish mabibo huwa ni muuzaji mkubwa sema kuonana nae ndo kasheshe.

Ila kama unakisas na mtu punguza jazba mkuu, na acid ulitaka kununua kwa matumiz gan?
na ukiwa mtu wa hasira hutaruhusiwa kumilik siraha ya moto.

na risas zako zitahesabiwa na zina namba, ko ikipotea risas moja utaulzwa imetumikaje.

Dr Matola PhD tupe mwongozo
 
Lakini si mlikubaliana kuwa Msimu huu na ujao mnajenga timu au?
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Jirani unataka kumiliki mjegeje?
Pesa zishakua nyingi tajiri unataka kujilinda. [emoji1787]

JF traaamu sana!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…