Utaratibu wa kumiliki silaha za moto ukoje?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana bhanaa.
Kumbe unaweza kuandika [emoji406] safii na ikaeleweka, yenye utulivu na upolee

Nimeshtukaa ujue.
wewe una penda manjegeka tu, ime bidi nimjibu hoja kwa hoja.
licha ya kum diss kidogo, kwani ana jifanya ana nijua zaidi.

Una jua Kuna detail ali mezeshwa aka sahau ku clarify, mentor wangu ali nikataza kutumia silaha za kivita kwenye kikao Cha familia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kwahiyo ukiandika hicho kizungu chako cha wavuta bangi huko ulaya na Marekani ndo unadhani utaonekana una swaga au msomi sana au una hela au mafanikio?

We dogo ni FALA ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ–•๐Ÿพ
 
Kwahiyo ukiandika hicho kizungu chako cha wavuta bangi huko ulaya na Marekani ndo unadhani utaonekana una swaga au msomi sana au una hela au mafanikio?

We dogo ni FALA ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ–•๐Ÿพ
We ni mly msaka attention kwa wanaume, Jitahidi upambane uishi na sio kuwa simp Kama mbwa
 
Nani tena kakuudhi mdogo wangu? maana hivyo vitu unavyotaka kumiliki Sio Poa!!
 

Kama una wivu na demu wako MAPEPE ni kheri usimiliki silaha maana unaweza ukasababisha kugawana majengo ya serikali.
 
Kuna rafiki yangu kaniambia aniletee Pistol from SOUTH AFRICA kwa mil 1
 
Ukifatilia Hadhi ya umiliki na hili wenge huipati labda ukachukue Kigoma, au Kagera(Kabanga). Silaha ni muhimu sana Kuna watu hawasikii kwa maneno lakini wanasikia nikisogeza chamber.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ