Utaratibu wa kumiliki silaha za moto ukoje?

Aaah wapiii? Wee kwa fix haujambo. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo ukiandika hicho kizungu chako cha wavuta bangi huko ulaya na Marekani ndo unadhani utaonekana una swaga au msomi sana au una hela au mafanikio?

We dogo ni FALA [emoji23] [emoji1610]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aaah wapiii? Wee kwa fix haujambo. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ili zini saidie nini sasa?, when you're living it haina haja ya kutumia power kubwa kuonyesha hilo.

shout out to my father (rip), without him sijui!

Mi raisi wa Chama Cha ma jobless pro max, karibu hq za chama Chetu
 
Myamalize kiundugu tu, naona unataka kufia jela
 
Unataka umuue nani?
Nisije nikakupa maelekezo halafu hiyo silaha ukaitumia dhidi yangu.
 
Ili zini saidie nini sasa?, when you're living it haina haja ya kutumia power kubwa kuonyesha hilo.

shout out to my father (rip), without him sijui!

Mi raisi wa Chama Cha ma jobless pro max, karibu hq za chama Chetu
Yaan wee kwa fix, huna mpinzani, unapita bila kupingwa. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
uliza Selikavu na adriz they know me somehow, shared a couple of my life events with them.

Mpaka napata ajali Mwaka Jana, so wana jua kiasi.
Afu hii ya ajali kuna mtu aliniambiaga, sikuwekea maanani, maana ile time, kulikua na conflicts kdg, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

But polee, ila punguza fix, IB
 
Afu hii ya ajali kuna mtu aliniambiaga, sikuwekea maanani, maana ile time, kulikua na conflicts kdg, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

But polee, ila punguza fix, IB
Ilikuwa private trip, nime kaa hospital zaidi ya miezi 3 unconscious!.

lost a good brother and business partner, nime kwambia uliza hao Wana nijua no fix at all
 
Una jua ni ngumu kumu eleza kitu ikiwa ana amini lililo kichwani?, nime share Picha na experience kadhaa nikiwa trip za hapa na pale.

haya niki weka baadhi ya vitu hapa, still si uta sema sio Mimi!
Weka plz, mie napendaga vitu kwa evidence,
Yaan ukiwekaa ntaamini haswaa, ila vinginevyo Fix bhana IB.
LOL
 
Afu hii ya ajali kuna mtu aliniambiaga, sikuwekea maanani, maana ile time, kulikua na conflicts kdg, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

But polee, ila punguza fix, IB
Fix pekee kijana alizonazo ni kwenye Kuoa otherwise maisha yake hayana fix

Unaweza niuliza chochote kumhusu nikakuelezea mkuu

About Ajali nakumbuka ni mimi nilikuambia kama sijakosea...
 
Fix pekee kijana alizonazo ni kwenye Kuoa otherwise maisha yake hayana fix

Unaweza niuliza chochote kumhusu nikakuelezea mkuu

About Ajali nakumbuka ni mimi nilikuambia kama sijakosea...
Nahisi ni wee kweli ndo uliniambia kuhusu ajari ya huyu IB.

mie namzingua tyuuh, wala simaanishi kabisa, couz cna interest ya kujua ya undani wa mtu, iwe kweli au uongo, up to yeye

Namchangamsha tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi me nawaacha mchangamshane....

Mchangamshano mwema mkuu😃😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…