Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Sio kigoma tu, Kuna kagera, kuna kyela, kuna tandahimba huko, kuna mkinga kule tanga. Ni karibu wilaya zote za mipakani.Nafikiri ni strategicaly move. mkoa uko mpalani.. a lot of security issues. so lazima waweke watu ambao ni security focused guys.
Nafikiri ni strategic move. Mkoa uko mpalani.. a lot of security issues. So lazima waweke watu ambao ni security focused guys
Kikwete alikuwa mwanajeshi, mbona hamikusema hiyo, was a Colonel and not DAktariNazidi kusikitika kuona utawala na mamlaka ya raia yanapokonywa. Wanasiasa kama unaona huna uwezo wa kuwaongoza hao militant bila kuwaingiza kwenye siasa basi waondoe kwanza jeshini wabaki civilian then ndiyo uwateue.
Kitendo cha karibia mkoa mzima wa Kigoma kuwapelekea wanajeshi kuwaongoza pia haijapendeza hata kidogo.
Civilian leader ana nguvu na maono zaidi ya military. Acheni kufanya mambo kwa utashi, fuateni katiba.
Jeshi lazima liongozwe na raia na si jeshi kuongoza raia. (Civilians must rule the military and not otherwise)
Na ameiba mabillioni lakini hayasemwi hayo! Alikuwa waziri wa Madini, waziri wa fedha. Nchi zingine angekuwa Ana sota ukongaKikwete alikuwa mwanajeshi, mbona hamikusema hiyo, was a Colonel and not DAktari
Hii nchi kinacho angaliwa ni ubabe na matamko, swala la maono haliangaliwi mkuu,Nazidi kusikitika kuona utawala na mamlaka ya raia yanapokonywa. Wanasiasa kama unaona huna uwezo wa kuwaongoza hao militant bila kuwaingiza kwenye siasa basi waondoe kwanza jeshini wabaki civilian then ndiyo uwateue.
Kitendo cha karibia mkoa mzima wa Kigoma kuwapelekea wanajeshi kuwaongoza pia haijapendeza hata kidogo.
Civilian leader ana nguvu na maono zaidi ya military. Acheni kufanya mambo kwa utashi, fuateni katiba.
Jeshi lazima liongozwe na raia na si jeshi kuongoza raia. (Civilians must rule the military and not otherwise)
Kwa tabia za Watani zangu wa Mkoani Kigoma ( hasa za Kulima na Kuvuta Bange hovyo, Uchawi wa Kishamba, Kufanya Uhalifu hasa Mauwaji na Kuwakumbatia Wahamiaji Haramu na Kuninyima Mchumba wa Kiha GENTAMYCINE ) kwakuwa tu natokea Mkoani Mara ( Musoma ) naunga mkono Kupelekewa wana Medani ( Wanajeshi na Polisi ) hadi wakome.Nazidi kusikitika kuona utawala na mamlaka ya raia yanapokonywa. Wanasiasa kama unaona huna uwezo wa kuwaongoza hao militant bila kuwaingiza kwenye siasa basi waondoe kwanza jeshini wabaki civilian then ndiyo uwateue.
Kitendo cha karibia mkoa mzima wa Kigoma kuwapelekea wanajeshi kuwaongoza pia haijapendeza hata kidogo.
Civilian leader ana nguvu na maono zaidi ya military. Acheni kufanya mambo kwa utashi, fuateni katiba.
Jeshi lazima liongozwe na raia na si jeshi kuongoza raia. (Civilians must rule the military and not otherwise)
Hata ukiwa bingwa wa kujamba unaweza kuwa waziri, balozi etcHii nchi kinacho angaliwa ni ubabe na matamko, swala la maono haliangaliwi mkuu,
Hii nchi tulikosea sana
Vyeo vya RC na DC vifutwe kwenye katibaHao wanajeshi wanapaswa kukaa kwenye Barracks na sio kuchangamkia teuzi za kiraia. Mafunzo waliosomea sio hizi teuzi wanazopewa zenye mwelekeo wa kisiasa.
Hawa wakuu wa mikoa na wilaya kuna sharti lililowekwa na tawala hizi kwamba lazima wawe ni makada wa ccm wakati wanajeshi hawatakiwi kujinasibisha na siasa za vyama sasa huu mbona ni unafiki wa wazi kabisa.
Hata raia akiwa mkuu wa wilaya au mkoa ulio pembezoni hakumuondolei mamlaka ya kutekeleza majukumu yake ya kiulinzi au ya kiusalama kisa tu eti yeye sio mwanajeshi.
Hawa wanajeshi inafaa wafanye kazi yao ya uwanajeshi na sio kujihusisha na siasa na kama wana tamaa ya kufanya siasa basi wavue magwanda wawe raia na watumikie bwana moja.