CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,048
Kuna Rombo.Sio kigoma tu, Kuna kagera, kuna kyela, kuna tandahimba huko, kuna mkinga kule tanga. Ni karibu wilaya zote za mipakani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Rombo.Sio kigoma tu, Kuna kagera, kuna kyela, kuna tandahimba huko, kuna mkinga kule tanga. Ni karibu wilaya zote za mipakani.
Sure
^Civilian leader ana nguvu na maono zaidi ya militant.^
^Jeshi lazima liongozwe na raia na si jeshi kuongoza raia.^
Lowassa alisema: Elimu. Elimu. Elimu. Katiba inasemaje kwanza!??? Tuanzie hapo.
Sioni tatizo maana mkuu wa mkoa au wilaya anadeal sana na security issues za mkoa au wilaya husikaNazidi kusikitika kuona utawala na mamlaka ya raia yanapokonywa. Wanasiasa kama unaona huna uwezo wa kuwaongoza hao militant bila kuwaingiza kwenye siasa basi waondoe kwanza jeshini wabaki civilian then ndiyo uwateue.
Kitendo cha karibia mkoa mzima wa Kigoma kuwapelekea wanajeshi kuwaongoza pia haijapendeza hata kidogo.
Civilian leader ana nguvu na maono zaidi ya military. Acheni kufanya mambo kwa utashi, fuateni katiba.
Jeshi lazima liongozwe na raia na si jeshi kuongoza raia. (Civilians must rule the military and not otherwise)
Mbona hawana shida...
Nadhani sio vibaya kuwa na wanajeshi sababu ni kazi tu unajua hata Hawa MaDC wengine ni watumishi wa umma so unakuta akitenguliwa anaweza kurudi ofisini kwake kama kawaida sema sababu wengi wanakuwa wanaona kurudi cheo cha chini kama atadharauliwa.Nazidi kusikitika kuona utawala na mamlaka ya raia yanapokonywa. Wanasiasa kama unaona huna uwezo wa kuwaongoza hao militant bila kuwaingiza kwenye siasa basi waondoe kwanza jeshini wabaki civilian then ndiyo uwateue.
Kitendo cha karibia mkoa mzima wa Kigoma kuwapelekea wanajeshi kuwaongoza pia haijapendeza hata kidogo.
Civilian leader ana nguvu na maono zaidi ya military. Acheni kufanya mambo kwa utashi, fuateni katiba.
Jeshi lazima liongozwe na raia na si jeshi kuongoza raia. (Civilians must rule the military and not otherwise)
Basi tutakuwa tunatumia technic ya kijinga sana kutatua tatizo. Kwani hatuwezi kutumia mbinu nyingine tu kuimarisha usalama na mkuu wa mkoa akawa raia wa kawaida?Nafikiri ni strategic move. Mkoa uko mpalani.. a lot of security issues. So lazima waweke watu ambao ni security focused guys
Huna unachokielewa kuhusiana na hili.huu sio utaratibu mgeni nchini bali ni kawaida kwa sehemu zenye kupakana na nchi zenye changamoto za kiusalama,huwa wanapelekwa hao maafisa wa KijeshiNazidi kusikitika kuona utawala na mamlaka ya raia yanapokonywa. Wanasiasa kama unaona huna uwezo wa kuwaongoza hao militant bila kuwaingiza kwenye siasa basi waondoe kwanza jeshini wabaki civilian then ndiyo uwateue.
Kitendo cha karibia mkoa mzima wa Kigoma kuwapelekea wanajeshi kuwaongoza pia haijapendeza hata kidogo.
Civilian leader ana nguvu na maono zaidi ya military. Acheni kufanya mambo kwa utashi, fuateni katiba.
Jeshi lazima liongozwe na raia na si jeshi kuongoza raia. (Civilians must rule the military and not otherwise)
Hao wakuu wa mikoa ndio wako kwenye katiba hii tunayoilalamikia lakini hawa wakuu wa wilaya wenyewe hawamo kwenye katiba ila wamo kwenye sheria zilizotungwa na bunge (Parliamentary Act).Vyeo vya RC na DC vifutwe kwenye katiba
Kwani kuhusu hilo katiba inasemaje? Maana siku hizi, hata ukisahau kununua chumvi nyumbani una ambiwa fuata katiba ya nchi! Na ukianza kushangaa utasikia tunataka katiba mpya!Nazidi kusikitika kuona utawala na mamlaka ya raia yanapokonywa. Wanasiasa kama unaona huna uwezo wa kuwaongoza hao militant bila kuwaingiza kwenye siasa basi waondoe kwanza jeshini wabaki civilian then ndiyo uwateue.
Kitendo cha karibia mkoa mzima wa Kigoma kuwapelekea wanajeshi kuwaongoza pia haijapendeza hata kidogo.
Civilian leader ana nguvu na maono zaidi ya military. Acheni kufanya mambo kwa utashi, fuateni katiba.
Jeshi lazima liongozwe na raia na si jeshi kuongoza raia. (Civilians must rule the military and not otherwise)
Nadhani lengo ni kuimarisha usalama, nimeona Wilaya nyingi za pembezone wamewekwa askari na hii ilikuwa ni utaratibu tangu siku nyingiNazidi kusikitika kuona utawala na mamlaka ya raia yanapokonywa. Wanasiasa kama unaona huna uwezo wa kuwaongoza hao militant bila kuwaingiza kwenye siasa basi waondoe kwanza jeshini wabaki civilian then ndiyo uwateue.
Kitendo cha karibia mkoa mzima wa Kigoma kuwapelekea wanajeshi kuwaongoza pia haijapendeza hata kidogo.
Civilian leader ana nguvu na maono zaidi ya military. Acheni kufanya mambo kwa utashi, fuateni katiba.
Jeshi lazima liongozwe na raia na si jeshi kuongoza raia. (Civilians must rule the military and not otherwise)
Nani alishawakalilishaga mikoa na wilaya za mipakani zinahitaji viongozi wanajeshi? It is part of the country. Kwani kuna vita kule? Why CIF ni Civilian tu ana command jeshi.Mkuu nilichokiona na kwa hawa watu waliotoka kwenye majeshi ni uteuzi wa kimkakati maana 90% kama sio 100% ya walioteuliwa wamepelekwa katika wilaya zilizopo mipakani. So ni mkakati wa kiusalama naona hasa ukizingatia DC ndio mwenyekiti wa kamati ya usalama ya wilaya
Tena sio mwanajeshi wa field [emoji969]Nchi hii iliyopakana na mipaka mingi kuliko mkoa wa Kigoma imeongozwa na marais sita aliyewahi kuwa mwanajeshi ni mmoja tu mpaka sasa.
Mh!.
Mtoa mada umekuwa na hasira Kama vile mtu aliyekosa uteuzi.
Sidhani Kama Kuna ubaya wowote kuteua wanajeshi kuwa maDC.
Au unadhani wanajeshi wote wamemaliza form four na kwenda kufundishwa kupigana Vita?.
Ni kwamba wapo wanajeshi kibao wamesomea Mambo ya utawala, utabibu,uhandisi,sheria n.k.
So nao wanaweza kuwa viongozi Kama watu wengine.
Pumbavu vyeti vya taaluma yangu ili utunukiwe wewe inabidi urudi form two ukaanze kujenga msingi upya wa carrier niliyonayo.Nenda shule wewe achana na chuki
Ndiyo mwanajeshi akiwa na gwada na akiwa kaandikishwa jeshini hawezi kuwa kwenye kundi la mtumishi wa uma!Kwani wanajeshi sio RAIA?
Aligombea urais akiwa bado jeshini? ama una kichwa cha samaki?Kikwete alikuwa mwanajeshi, mbona hamikusema hiyo, was a Colonel and not DAktari
Tena active on duty....huyo ana chuki binafsi na soldiers hana loloteNafikiri ni strategic move. Mkoa uko mpalani.. a lot of security issues. So lazima waweke watu ambao ni security focused guys