Utaratibu wa kuteua wanajeshi kushika nyadhifa za kiraia haufai

Basi tutakuwa tunatumia technic ya kijinga sana kutatua tatizo. Kwani hatuwezi kutumia mbinu nyingine tu kuimarisha usalama na mkuu wa mkoa akawa raia wa kawaida?
Yes but mbinu gani? maybe kuna mbinu zingine unazifaham. can you share with us?
 
Rais ana taarifa nyingi sana na karibu zote kuhusu nchi hii kuliko sisi... Tupunguze ujuaji
 
Mikoa na wilaya za mpakani zina changamoto za kiulinzi hivyo.hakuna shida kupewa wanajeshi
Kipaumbele cha kwanza cha nchi ni ulinzi na usalama.

Ili kuwa na uhakika wa ulinzi na usalama, nadhani sasa tuanze kuwa na Rais mwanajeshi ili nchi nzima iwe salama.
 
Kuna kitu hukifahamu ndugu kuhusu mkuu wa Wilaya.Yule ni mwenyekiti wa Ulinzi na usalama wa wilaya.Sasa sehemu yote waliopeleka wanausalama wa nchi wastaafu utaona ni maeneo yako delicate kwenye usalama wa maeneo husika.Sasa wewe ulitaka tumpeleke kibondo Nik wa pili? you must be jocking
 
Wewe ndiyo haujui kitu.
 
Nilikuwa naamini kichwani upo vizuri kumbe ni KAMONGO.
 
^Civilian leader ana nguvu na maono zaidi ya militant.^
^Jeshi lazima liongozwe na raia na si jeshi kuongoza raia.^

Lowassa alisema: Elimu. Elimu. Elimu. Katiba inasemaje kwanza!??? Tuanzie hapo.
Hapo unataka tusome nini? Kwamba mwandishi hana elimu hiyo ambayo Lowassa katuambia. Kazi ya jeshi ni kulinda nchi. Mwanajeshi kupewa madaraka ya kuongoza taasisi ya kiraia bila maelezo ya ukomo wa madaraka yake ni utawala mbovu na hata kama kuna wanajeshi wachache wanaweza kuwa na busara namna ya kutambua tofauti hii isitumike kama mazoea kwa sababu si jambo la kawaida. Sasa nani hajaelimika hapa kwa mujibu wa Elimu ya Lowasa!?
 
Ninakuelewa unachoandika hapa mkuu 'THE LOST'.

Hebu nami nijaribu pia kuweka kona nyingine kwenye maoni yako:

Kama hawa watawala wa kiraia wameona jeshini kuna viongozi bora zaidi ya huku uraiani, basi wapishwe waendeshe nchi kama raia hawawezi.

Sijui unayaonaje maoni yangu haya mkuu wangu.

Hebu tuendelee kubadilishana mawazo huenda tukafikia sehemu na kupendekeza wananchi wachukue jukumu hilo la kuwaondoa hawa viongozi raia ili waweke wanajeshi, maanake wananchi ndio wenye haki ya kuamua nani awaongoze.
 
Hivi unaelewa nini ukiona mtu anaitwa colnel, unahisi ni cheo kila poyoyo anaweza pata?
Yaani una hoji wanajeshi kuongoza mpakani( ambao wamesomea uongozi darasani) ila unashindwa kuhoji kina chopa mchopanga.
Afu ni wapi kwenye katiba wanazuiliwa?
 
Kua askari hakumuondelei MTU nafasi ya kuendelea kua raia na ndio maana askari ana nafasi mbili kwenye jamii yake ambapo moja wapo ni kama msimamizi wa usalama na nyingine kama raia wa kawaida

Sent from my OE106 using JamiiForums mobile app
 
Hivi unaelewa nini ukiona mtu anaitwa colnel, unahisi ni cheo kila poyoyo anaweza pata?
Yaani una hoji wanajeshi kuongoza mpakani( ambao wamesomea uongozi darasani) ila unashindwa kuhoji kina chopa mchopanga.
Afu ni wapi kwenye katiba wanazuiliwa?
Mkuu kusomea kwao uongozi hakuwapi nafasi ya kuwa wajumbe wa vikao vya chama cha siasa vya wilaya. Kipi huelewi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…