Utaratibu wa kuteua wanajeshi kushika nyadhifa za kiraia haufai

..chanzo cha uasi ni walio na mamlaka kutokutenda haki, na kuongoza bila kuzingatia sheria na utawala bora.

..Tz tumejiwekea sheria inayoelekeza kwamba wanajeshi au askari kwa ujumla hawatashiriki siasa.

..mimi nadhani tujielekeze ktk kuweka mazingira ya HAKI hapa nchini ili tujihakikishie usalama na masikilizano wakati wote.
 
Hao wanajeshi huko wanapopewa mikoa na wilaya wanatenda haki. Amani yetu ni ngumu kuitunza kama majirani wanafuga waasi tangu nchi zipate uhuru.
 
Hao wanajeshi huko wanapopewa mikoa na wilaya wanatenda haki. Amani yetu ni ngumu kuitunza kama majirani wanafuga waasi tangu nchi zipate uhuru.

..hawawezi kutenda haki kama wanatumikia chama kimoja ccm wakati tuko ktk mfumo wa vyama vingi.

..sheria zetu zinakataza askari kushiriki ktk shughuli za vyama vya siasa.

..amani imetoweka kwa majirani zetu kutokana na mamlaka zao kutokutenda haki.

..tuungane sote kuhimiza suala hili lirekebishwe kwani Tanzania ni yetu sote.
 
Hao wanajeshi huko wanapopewa mikoa na wilaya wanatenda haki. Amani yetu ni ngumu kuitunza kama majirani wanafuga waasi tangu nchi zipate uhuru.
Mkuu wa Wilaya ni mjumbe wa kamati ya siasa ya CCM katika Wilaya

Hivyo DC Mwanajeshi ATAKUWA anaingia vikao vya CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…