Utaratibu wa kutoa matokeo ya mtihani kwa majina umetusaidia sana hatudanganywi tena

Utaratibu wa kutoa matokeo ya mtihani kwa majina umetusaidia sana hatudanganywi tena

Nashauri baraza la mtihani wasiishie Kwa kidato cha pili, darasa la Saba na darasa la nne, warudishe pia na kidato cha nne.

Kuna madogo huku mtaani tulikua tukiwaambia wasome walikua busy na wavuvi camp mambo hadharani, hakuna kuuliza sijui namba yako ni ipi.

Nashauri Kwa kidato cha nne utaratibu ungekua pia matokeo yatoke Kwa majina.
Seriously **** mtoto wa form four anaenda wavuvi camp?
 
Mtoto wa baba mdogo shule imeishia,hapa[emoji16]

Zote kapiga mswaki (F)
IMG_20230105_092857.jpg
 
Back
Top Bottom