Utaratibu wa kutoa matokeo ya mtihani kwa majina umetusaidia sana hatudanganywi tena

Utaratibu wa kutoa matokeo ya mtihani kwa majina umetusaidia sana hatudanganywi tena

Enzi zetu matokeo yalikuwa yanatolewa kwa majina. Hapa katikati wakati Eng. Shukuru Kawambwa, binamu wa JK watoto wa wakubwa walikuwa wanafeli sana. wakaona matokeo yasiwe na majina bali namba tu.
Nadhani ni wazo sahihi matokeo yatoke kwa majina.
Mtoto wa Mzee wa msoga alipata four na alikua anasoma feza[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yale matokeo ya Mwanaisha J.K ndio yalikuwaga ya mwisho kutoka na majina
 
Ana 4 ya 33 kafaulu
Hivi walimu mlishirikishwa kwenye huu upangaji wa ufaulu?

Kwanini hawatumii wastani kama zamani? Waache Division kuanzia Form 4?

Kwamba ambaye hafikishi wastani wa 41asiende Form 3
 
Back
Top Bottom