Utaratibu wa kutoa matokeo ya mtihani kwa majina umetusaidia sana hatudanganywi tena

Hizo rank ndo zilikuwa zinaleta shida kwenye school bus.
Kivipi muzee? So tupige kimya kimya utaniambia matokeo yatakavyokuwa yanaporomoka kila mwaka. Sababu no competition. Nakwambia kama educationist.
 
Enzi zetu matokeo yalikuwa yanatolewa kwa majina. Hapa katikati wakati Eng. Shukuru Kawambwa, binamu wa JK watoto wa wakubwa walikuwa wanafeli sana. wakaona matokeo yasiwe na majina bali namba tu.
Nadhani ni wazo sahihi matokeo yatoke kwa majina.
Mtoto wa Mzee wa msoga alipata four na alikua anasoma feza[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yale matokeo ya Mwanaisha J.K ndio yalikuwaga ya mwisho kutoka na majina
 
Ana 4 ya 33 kafaulu
Hivi walimu mlishirikishwa kwenye huu upangaji wa ufaulu?

Kwanini hawatumii wastani kama zamani? Waache Division kuanzia Form 4?

Kwamba ambaye hafikishi wastani wa 41asiende Form 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…