- Thread starter
- #41
Tehama!Teh teh kweli kabisa
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tehama!Teh teh kweli kabisa
Ova
Walishaboresha kidogo na walishazifanyia kazi hoja nyingi hapo juu! Matatizo yaliyobaki ni madogo madogo ya jam na refund endapo muamala ukipotea bado wagumu kurudishaMimi nimelichukua kadi lao leo. Ngoja nione. Any updates so far wakuu? Drawbacks zimefanyiwa kazi au ndio yaleyale?
Na salio unaangalia vp? Niki google naona jinsi ya kuongeza tu sioni kuangalia. Na pia sioni option ya Airtel money, ni voda, tigo na tpesaWalishaboresha kidogo na walishazifanyia kazi hoja nyingi hapo juu! Matatizo yaliyobaki ni madogo madogo ya jam na refund endapo muamala ukipotea bado wagumu kurudisha