Utaratibu wa malipo ya N-CARD Umeonesha kufeli vibaya katika Vivuko, Waziri Chunguza TEMESA kuna kero za makusudi

Utaratibu wa malipo ya N-CARD Umeonesha kufeli vibaya katika Vivuko, Waziri Chunguza TEMESA kuna kero za makusudi

Mimi nimelichukua kadi lao leo. Ngoja nione. Any updates so far wakuu? Drawbacks zimefanyiwa kazi au ndio yaleyale?
 
Walishaboresha kidogo na walishazifanyia kazi hoja nyingi hapo juu! Matatizo yaliyobaki ni madogo madogo ya jam na refund endapo muamala ukipotea bado wagumu kurudisha
Na salio unaangalia vp? Niki google naona jinsi ya kuongeza tu sioni kuangalia. Na pia sioni option ya Airtel money, ni voda, tigo na tpesa
 
Back
Top Bottom