EEM M
JF-Expert Member
- May 20, 2022
- 459
- 937
Kwahiyo unataka specialist atibu mafua???
Kinachofanyika na mfuko ni kuwa wewe mgonjwa huwezi tu kuamua umuone daktari fulani, inawezekana unaumwa malaria unataka ukamuone specialist wa moyo.. haiwezekana sasa ndio wanataka utibiwe kwanza kawaida ndipo daktari aseme hii case yako inabidi uende kumwona specialist fulani.
Ikitokea kila mgonjwa akapewa uhuru wa kupata matibabu wote watakimbilia kwa specialist hawataenda kwa CO au GP.
Hii ni moja ya kulinda mapato ya mfuko maana kila level ya qualifications ina gharama z