Utaratibu wa NHIF kumtaka mgonjwa akapate Rufaa toka Hospitali za Wilaya ni kero

Utaratibu wa NHIF kumtaka mgonjwa akapate Rufaa toka Hospitali za Wilaya ni kero

Kwahiyo unataka specialist atibu mafua???
Kinachofanyika na mfuko ni kuwa wewe mgonjwa huwezi tu kuamua umuone daktari fulani, inawezekana unaumwa malaria unataka ukamuone specialist wa moyo.. haiwezekana sasa ndio wanataka utibiwe kwanza kawaida ndipo daktari aseme hii case yako inabidi uende kumwona specialist fulani.

Ikitokea kila mgonjwa akapewa uhuru wa kupata matibabu wote watakimbilia kwa specialist hawataenda kwa CO au GP.

Hii ni moja ya kulinda mapato ya mfuko maana kila level ya qualifications ina gharama z
 
Ulishawahi kusoma form za kuomba hizo bima?? Hayo ndo masharti ya kwenye ile bima yao ndo maana wanasema hizo bima ni za hiari.

Kama huwezi masharti si usikate au usilipie??... Kwan wameshikiwa bunduki?

Hiv bongo mbn tunajipa stress za bure?

Mm mwenyew isingekuwa ni lazima nisingekata na nashukuru kabima kangu ni Supplementary 😂😂
Hiyo niliyoandika ni habari halisi. Huyo mgonjwa alishatibiwa KCMC Kwa muda mrefu, lakini ghafla utaratibu ukabadilika.

Wewe unalaumu KCMC kwamba hawajui utaratibu. Unadhani wao wanafurahi kusumbua wagonjwa wao?!

NHIF ndiyo wameanza huu utaratibu kwa sababu ambazo wanazijua wenyewe.
 
Sasa pale kuna hoja gani?, Kwahyo baada ya kufikiria ukaamua specialist akatibu mafua au sio?, Okay sawa
Kwanza ktk ufafanuzi wangu kuna sehemu nimelalamika? Umesoma niliyemjibu aliandika nini? Kwenye maelezo yangu kuna sehemu nimesema mgonjwa wa mafua atibiwe na specialist?

Nafikiri unasoma kwa mihemko na sio kuelewa. Mimi nimempa ufafanuzi wa utaratibu huyo niliyemjibu.

Kama kuna sehemu ipo tofauti pale fanya kutumia quote kujibu sehemu husika.
 
Hapa uliandika nn?? 👇
inawezekana unaumwa malaria unataka ukamuone specialist wa moyo.. haiwezekana sasa ndio wanataka utibiwe kwanza kawaida ndipo daktari aseme hii case yako inabidi uende kumwona specialist fulani.
Kwahiyo ukiambiwa Mafua na Maralia ukatibiwe na MD ni kubana matumizi au sio?
Hii ni moja ya kulinda mapato ya mfuko maana kila level ya qualifications ina gharama zake.

But nadhani haupo kwenye mambo ya afya so huwezi nielewa.
 
Back
Top Bottom