Utaratibu wa urejeshwaji wa Watanzania 301 kutoka Marekani

Utaratibu wa urejeshwaji wa Watanzania 301 kutoka Marekani

Watashuka air port.
Kwakuwawamekuwa deported means walitoroka nchi nakwenda nchinyingine kimakosa hivyo wanapaswa kushikiliwa na kufungulia mashtaka mara watakapofika.

Andaeni faini mtawakuta kule kinyama, mkichelewa mtawatolea keko/segedansi.

I have been deported several times mkuu ninakauzoefu flani hivi.
This time nafungua selfu nayabusu makaratasiyangu siina baya na maga [emoji1787][emoji1787].

Follow the instructions above utanishukuru.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Ukoloni. Mbona wakoloni walivyokuja kwetu bila visa wala passport hatukuwakamata na kuwarejesha kwao kama wahalifu? Bado magabacholi walioletwa na wakoloni hao hao.
 
Wasiojua wanadhani kila mbongo aliyeko marakeni atarudishwa ili asote nao wakati si hivyo. Kwani Trump ndo mara yake ya kwanza kuwa rais na kuja sera zake za bangi na misifa? Mie nilikuwa huko hadi nilipochoka na kurejea zangu kwetu UK.
Wiki ilopita tu nilikuwa Tanzania.

Wiki mbili zijazo naenda London na Oxford.

Watanzania wengi wana matatizo ya kusoma na kutokuelewa walichokisoma.

Sijawahi kuwa mhamiaji haramu popote pale dunia hii.

Nina TSA Precheck na Clear.

Nasafiri sana kiasi mpaka nimeshajuana na TSA agents kwenye airport ya ‘nyumbani’….the two dead mayors airport 😀.

Sidhani kama kuna illegal immigrants wanaosafiri sana kimataifa kwa kutumia usafiri wa anga.
 
Wiki ilopita tu nilikuwa Tanzania.

Wiki mbili zijazo naenda London na Oxford.

Watanzania wengi na matatizo ya kusoma na kutokuelewa walichokisoma.

Sijawahi kuwa mhamiaji haramu popote pale dunia hii.

Nina TSA Precheck na Clear.

Nasafiri sana kiasi mpaka nimeshajuana na TSA agents kwenye airport ya ‘nyumbani’….the two dead mayors airport 😀.

Sidhani kama kuna illegal immigrants wanaosafiri sana kimataifa kwa kutumia usafiri wa anga.
Toa elimu ya bure kijana wangu. Wengi wanasumbuliwa na wivu na roho za korosho.
 
Kuna utaratibu huwa unafanywa na UNHCR kwa wakimbizi waliokaa muda mrefu kambi za wakimbizi Tz kupelekwa majuu.
Ile shauku waliyokuwa nayo kusubiri orodha ya majina itoke nafikiri haitakuwa sawa na waliyo nayo ndugu zetu.

##Pasipo hiari yao##
Karibuni home sweet home.
 
Wiki ilopita tu nilikuwa Tanzania.

Wiki mbili zijazo naenda London na Oxford.

Watanzania wengi wana matatizo ya kusoma na kutokuelewa walichokisoma.

Sijawahi kuwa mhamiaji haramu popote pale dunia hii.

Nina TSA Precheck na Clear.

Nasafiri sana kiasi mpaka nimeshajuana na TSA agents kwenye airport ya ‘nyumbani’….the two dead mayors airport [emoji3].

Sidhani kama kuna illegal immigrants wanaosafiri sana kimataifa kwa kutumia usafiri wa anga.
[emoji3]wejamaa usidhani kama watu wanapenda kuzamia kipumbavu ndugu, maisha ukiyachukulia serious hakuna namna utakayoacha kujaribu.

Thank God brother if you smart enough to that extent.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Serikali Ina kazi ya KUFANYA, iliwapeleka huko? Hao si ndio walikuwa wanaitukana nchi yao wakifikiri wameshafika nchi ya ahadi? Watafute pa kwenda huku wataishia magerezani
Hujui kitu na huelewi maana halisi ya serikali, tofauti na hisia za chuki.
Na ndio maana huwezi kuwa kiongozi wa nchi hii.
 
Hahahaaa!

Mfano mimi, nirejeshwe kwa kosa au makosa gani, kwa mfano?
Mkuu kwa Wasafiri ugenini sio kwetu lolote na wakati wowote kinaweza kutokea kitu ukarejeshwa home ila sio kwa hizi kesi zao nyepesi nyepesi za vibali ni kuomba Mungu mambo haya yasitokee tuendelee kubeba Box tu..
 
Back
Top Bottom