Utaratibu wa urejeshwaji wa Watanzania 301 kutoka Marekani

Ushamba na umaskini vinawasumbua. Wakiona una mkweche wanajua umeukata.
Sad

Tabia za kimaskini tu, tukose wote kuliko wewe upate.

Hao watu hatuwajui, Iła tunasherekea kufikiria tu wanakuja kula vumbi na sisi popote watakapotulia Tanzania.

Humjui huyo mtu na pengine yeye haijuj hata JF.

Masaiba yake unasherehekea vipi, zaidi ya roho za umaskini tu. Huyo mtu akiwa US au Tanzania wewe unaongezewa nini au unapungukiwa nini.

Tabia za kimaskini tu, tukose wote.
 
Hawajui kuwa hiyo mikweche yetu ndiyo inawawezesha waajiri wao wawalipe hiyo mishahara. Kwa waliowahi kuishi Ulaya wanajua. Huwezi kwenda dukani au kituo cha mafuta mhudumu akakununia zaidi ya kutabasamu hata kama ni kwa kulazimika. Kwa Afrika we acha tu. Jitu linakununia utadhani wewe ndo umesababisha umaskini wake. Ajabu, mikumbaff hiyo hiyo inashobokea majizi wa kisiasa!
 
Wabongo aisee mna kazi sana
 
Ni shida.

Ndio sampuli ya watu ambao, wanafurahia kusikia kuna wenzao wana wakati ngumu huko US.

Sasa hao watu wakiwa US au Tanzania; wanaongezea nini au kuwapunguzia nini (wanao wanao waombea warudishe) wanajua wenyewe.
 
Ni shida.

Ndio sampuli ya watu ambao, wanafurahia kusikia kuna wenzao wana wakati ngumu huko US.

Sasa hao watu wakiwa US au Tanzania; wanaongezea nini au kuwapunguzia nini (wanao wanao waombea warudishe) wanajua wenyewe.
Wakiwa nje wanawasaidia kuwatumia pesa ya kujikimu mbali na kuwekeza. Huoni serikali yetu tapeeli inavyohangaika kuwahadaa diaspora eti itawapa hadhi maalum. Ajabu mafisadi wengi kama akina Andru Cheenge, Rostaamy, Lungumi, Njaa Kaya, Madelu na wengine sijui kama wana uraia pacha. Ni nchi ya hovyo. Ni siasa za majitaka. Ajabu, nchi yenyewe hata uchaguzi inagharimiwa na hao hao mataifa ya nje. Ni siasa za kishamba, woga na ulimbukeni. Ndiyo maana hatuendelei pamoja na mwenyezi Mungu kutujalia raslimali kibao. Tazama magabacholi wanavyokuja na kutajirika sisi tukisikishana kwa sababu ya roho mbaya. Pamoja na kutubagua na kutuchukia, bado magabacholi wanatesa sababu ya upumbaff wetu.
 
Mie ningewaambia wamarekani bora mnisompeke jela yenu kuliko kutudi bongo ...au mniue kabisaaaa
 
Kweli Trump hataki kucheka na nyani 😂 Marekani imetoa list ya idadi ya watu watakaorudishwa nchini mwao kinguvu! Katika list hiyo inaonyesha watanzania 301 watarudishwa nchini soon! Wale wenye ndugu zenu mliokuwa mnaona raha kula vizawadi waliokuwa wakiwatunuku kutokea majuu mjiandae kupokea ndugu zenu airport muwafariji 😂 wanarudishwa vumbini tuje kula nao vumbi pamoja 😂
 
kama miongoni mwao ni wale Yas wawaue huko huko maamae wasiwapeleke bongo kuharibu vizazi vilivyopo.
 
Bado watabaki watanzania wengi huko. Huyu Trump ni mbaguzi wa rangi tu. Hata hao wa Ulaya anao waondoa wachache sana ni weupe
 
Wabongo bana tunashida sana. Unafurahia mwenzako kutolewa US? Akitolewa huko wewe unafurahi kwakuwa unafaidi nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…