Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
kwani kifo na sherehe Kuna tofauti gani, kifo hakuna maandalizi Lakini sherehe zinamaandalizi, kwa hiyo sherehe Zina kafaraVingi vya vyakula vinavyoliwa kwenyi baadhi ya misiba(mingi) ni kafara.
Baadhi yavyo ni maelekezo ya kishirikina yaliyoelekezwa kwa wanufaika na kifo cha mhusika.
Sisemi yote ila baadhi. Na katika hii baadhi kama wewe ni mgeni kwani ugeni wako ni mwaliko wa harusini hata uhudumiwe kwa vyakula? Kama kuna ulazima wa kula kwa nini kila mtu asiende na chakula chake?
😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅Unakuta "Mijitu" inaenda misibani kwa ajili ya kula tu,ikishakula hiyoooooo inalala mbele!,hata aibu haioni!,unakuta jitu badala liende hata ndani kusalimia wafiwa lenyewe linakomea getini linapiga msosi halafu linalala mbele!!
Nyie mtakua kauwezo mlikuwa nako hivyo mlikuwa mnapika vizuri waja wakapata pakuponea.Wabongo ustaarabu hatuna
Yaan tulifiwa jamani tukazika watu wanakuja muda wa chakula unaona wamejaa,wakimaliza kula wanapotea ikifika muda wa kula hao ilibidi tutangaze walivyomaliza kula kuwa msiba umeisha tunawashukuru sana [emoji23][emoji23][emoji23] tukafunga na milango ya geti lasivyo wangeendelea kuja
Chainizi zenyew zilivyo mbaya sasa mi nazionaga kama mgomba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] msilete masihara na maisha nyie!!!
Yani Fogo mmepaki ma Vieite utulishe wali chainizi dharau gani hizi?[emoji28]
Umeniongezea kitu nduguSisi wengine DINI yetu inakataza kabisa kitendo cha mtu ambaye si mfiwa kula msibani,usahihi ni kwamba wale wanao enda msibani ndiyo wanatakiwa kuwahudumia wafiwa.
Tangu nilipopata hii Elimu kwenye dini yangu sikuwahi tena kula msibani na sitokula tena,huwa wakati wa kula ukifika natoka kidogo.
Kawaida tu wala hatuna uwezoNyie mtakua kauwezo mlikuwa nako hivyo mlikuwa mnapika vizuri waja wakapata pakuponea.
Ila kuna watu wana tabia za ajabu sana.
Mdogo wangu walimwambiwa kamuua baba ili avae viatu msibani akawaambia "nisubirini kidogo nakuja wakajua wanaletewa hela za utani jamaa katoka na panga na utani iliisha palepale, Hadi sasa wanamwita mapangaMimi kero yangu watani kwenye msiba,Msiba wa baba yangu(Allah akusamehe huko uliko)nilitaka nimtoe meno yule mtani bwege[emoji53]
😀😀😀😀Chakula chochote cha shughulini kina.ladha ya tofauti [emoji3][emoji3], nimeamua nisijiendekeze nikienda kwenye mgao naomba kachumbali tu tena nione ilivyotengenezwa vinginevyo sili nakula kidogo sana labda tonge mbili basi, hiki chakula ukikizoea unaweza kuwa na tabia ya kutafuta maturubai yalipotundikwa ukakunje mguu na kapilipili na ndiziI yako mfukoni [emoji3][emoji3][emoji3]
😀😀😀Mdogo wangu walimwambiwa kamuua baba ili avae viatu msibani akawaambia "nisubirini kidogo nakuja wakajua wanaletewa hela za utani jamaa katoka na panga na utani iliisha palepale, Hadi sasa wanamwita mapanga
Hao wamebaki kwenye mikoa michache..kwetu ukijaribu unaweza kuacha roho chapMimi kero yangu watani kwenye msiba,Msiba wa baba yangu(Allah akusamehe huko uliko)nilitaka nimtoe meno yule mtani bwege[emoji53]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utakuta mtu anakuja msibani na rambirambi ya buku lakina anataka buffet ya kuku na mazagazaga mengine.
Misiba inatumika kama sehemu ya kubadilisha diet.
Kisa nn dea?Mimi kero yangu watani kwenye msiba,Msiba wa baba yangu(Allah akusamehe huko uliko)nilitaka nimtoe meno yule mtani bwege[emoji53]
Ni haki yao dea.Alikuwa anahitaji pesa [emoji51][emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wabongo ustaarabu hatuna
Yaan tulifiwa jamani tukazika watu wanakuja muda wa chakula unaona wamejaa,wakimaliza kula wanapotea ikifika muda wa kula hao ilibidi tutangaze walivyomaliza kula kuwa msiba umeisha tunawashukuru sana [emoji23][emoji23][emoji23] tukafunga na milango ya geti lasivyo wangeendelea kuja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nani aoshe vyombo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora wale halafu watulie basi, wengine wakishashiba wanaiba nyama, maandazi, wali wanapelekewa watoto home[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo tabia wapishi majirani yaani hawa walioshiki msiba wanaweza kosa nyama zote zinafichwa, sisi tulikuwa tuna nunua kilo kumi kila siku baada ya mazishi zile siku tano za matanga (miaka ya nyuma sana) matokeo wanapika kilo mbili zingine zinafichwa stoo ati wanapelekea watoto wao siku tulipoziona na kuzitoa wakatususia hawakuja tena kupika [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahah watu wanajua kuwa fogo anae hela watu wakaponee madiko diko af analeta pigo sizo! Kuna watu pilau wanalia misibani tu
Msiba wa kichaga nlishangaa watu wanapiga hadi vigele gele lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuanzia maiti inavyotoka mjini watu wanakulaga vyombo sana kwenye coaster
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanini?Tuachane na yoooote, kwanini Wali wa kwenye msiba hua mtamu namna ile???? Hua una ladha flani hivi amazing wakikuwekea na Maharage na kachumbari, alooooooo, [emoji39]
Btw, hua sipendi kula Nyama msibani yaani siwezi kabisa.