GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
South Africa hawana team mkuu, bora uweke Zambia tuKwenye zile 5 zilizo shiriki Kombe la dunia nchini Qatar ongeza 5 hizi kufikia 10
1.Egypt
2.Nigeria
3.Algeria
4.South Africa
5.Ivory Coast
Sisi hatuna nafasi yetu hapo labda ziwe zinaenda timu 40 toka Africa
Nitakunya Dar es Salaam hadi Kigoma.Ipo siku Africa tutakuja kunyanyua Hilo kombe,Ni suala la muda tu
Nitakunya Dar es Salaam hadi Kigoma.H
Ipo siku Africa tutakuja kunyanyua Hilo kombe,Ni suala la muda tu
Halafu itakua Mara kwa mara
Kwanini ufanye hivyo mkuu, Hili kombe Africa tutakuja kulinyanyua siku Moja amini nachokwambiaNitakunya Dar es Salaam hadi Kigoma.
Weka DRCongo towa southKwenye zile 5 zilizo shiriki Kombe la dunia nchini Qatar ongeza 5 hizi kufikia 10
1.Egypt
2.Nigeria
3.Algeria
4.South Africa
5.Ivory Coast
Sisi hatuna nafasi yetu hapo labda ziwe zinaenda timu 40 toka Africa
Utanipa kazi ya kukufuta pa kunyea Pako palipotukuka toka Dar mpaka kigoma mkuuNitakunya Dar es Salaam hadi Kigoma.
Bro sio kulaanika n8 mipango tu na matum8zi ya raslimali vizuriNawalaumu mno FIFA kwa Kuamua hivi kwani kwa Waafrika tunavyojijua na tunavyojuana pamoja na Kuingiza Timu (Nchi) Kumi (10) kutoka Bara la Afrika bado tutatoka tu Kapa / Peupe.
Kwangu Mimi GENTAMYCINE naona ni Kheri (Bora) hawa FIFA wangeongeza idadi ya Timu / Nchi kwa Mabara yaliyo Serious kama ya America ya Kusini au Ulaya (hasa ile ya Mashariki) lakini siyo kwa Bara letu la Afrika kwani Mwafrika hajawahi Kujitambua na kuwa na Malengo ya Kimantiki juu ya Jambo fulani la Maendeleo / Kimaendeleo.
Mapovu ya Jazba juu yangu rukhsa.
Na bado hatutaendaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye zile 5 zilizo shiriki Kombe la dunia nchini Qatar ongeza 5 hizi kufikia 10
1.Egypt
2.Nigeria
3.Algeria
4.South Africa
5.Ivory Coast
Sisi hatuna nafasi yetu hapo labda ziwe zinaenda timu 40 toka Africa