Utashangaa baada ya Afrika sasa Kuingiza Timu 10 Kombe la Dunia 2026 kwa Kulaanika Kwetu bado tutatoka Kapa tu

Utashangaa baada ya Afrika sasa Kuingiza Timu 10 Kombe la Dunia 2026 kwa Kulaanika Kwetu bado tutatoka Kapa tu

Hapa Sasa Njia yetu Taifa Stars weldi cup nyeupeee! Timu kumi hatukosi hata moja! Hii ni heshima kwa Africa, kile Morocco wameweza sisi hatuwezi kushindwa!

Mbinu ni kuwapa uraia Prof Nabi, Djigui Diarra, Mayele, Chama , Musonda na Dube.

Source?
Afcon team 24 na hamuend [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Kwenye zile 5 zilizo shiriki Kombe la dunia nchini Qatar ongeza 5 hizi kufikia 10
1.Egypt
2.Nigeria
3.Algeria
4.South Africa
5.Ivory Coast

Sisi hatuna nafasi yetu hapo labda ziwe zinaenda timu 40 toka Africa
Tanzania
Burundi
Somalia
Sudan ya kusini
Eswatini
 
Back
Top Bottom