Utata juu ya Mradi wa Bagamoyo


Nakubaliana na wewe as well. Lakini KItupekee yafaa kufahamu, majukumu ya PSU ni kuangalia usalama wa Rais at all cost.

Hataa kama Rais alionesha dalili za ubishi dhidi ya ulinzi wake, haiwi justification ya PSU kufanya kile anachotaka Rais ikiwa ni hatari kwa Usalama wake.

Once it comes to Security Issue, Rais anakuwa ni mtoto wa PSU na anapaswa kusikiliza na kukataliwa takwa lake pale inapobidi

Unapozungumzia Rais unazungumzia nchi

Ni dhahiri PSU haikuwa Strong, tumeona hata classified information zilivyo expire within a time na ku leak . This should tell you something, brother.

It is no joke something fishy was cooked . Unahitaji macho kuliona hilo.

The deep state is still piecing together the puzzle. It is just the matter of time truth will be revealed na Watanzania watautambua ukweli Before the dawn.

Rejea hali ya nchi kati ya 2011 hadi 2014, nchi ilikuwa ni uchafu na takataka lililooza.

Rejea hali ya nchi kuanzia 2016 hadi 2020. Tanzania ilianza kupata heshima kama nchi , for the first time in history.

 

 
Ila tim magu mna tabu sana! Korona bado inaondoa watu huko kijijini kwetu wiki mbili nyuma nimeambiwa watu watatu wameondoka kwa siku moja na moja wapo ni mwalimu aliyenifundisha shule ya msingi nilishtuka sana ikabid niulizie nkaambiwa ni korona na kwamba hasa pale nyumban siyo kitu ya kuuliza!
Pengine inaezekana kifo cha maguna mkono lakin sasa na yeye alikua mbishi sana! Alishindwa kujua namna ya kudeal na hizo nguvu za ndan na hakutaka ushauri! Alitakiwa angate na kupuliza sasa kaz yake ilikua kungata tu eenh binadam hatuend hivo
 
Hao form four na darasa la saba unaowaponda sio wanaosaini mikataba mibovu, mikataba mibovu imesainiwa na wasomi wasio na maadili na kukosa uzalendo.
 
Inafikirisha hivi sasa hta sisikii Tena kuwa Tanzania hutuzingatii corona, kwamba vifo vitaongezeka...kimya kabisa
Usiwe msahaulifu ,neno corona utalisikia tena endapo kamati imetoa mshindonyuma .kuhusu IPO au haipp
 

So huyu mtu kafa na Corona kwa kuwa wewe umesikia jamaa zako wakisema kilichomua ni Corona?

Seriously!! That is your evidence based .... Hearsay !

Well, nimekusoma. All the best !
 
Tuujue kwanza mkataba mana hata ndugai haujui..

Yeah, Worry Out .... we are working on it kuuleta ule mkataba wa awali kabisa uliokuwa kwa Draft.

We will drop here like seriously. These Monters wanatakiwa wakujua Watanzania wq leo tunauchungu na nchi yetu . Tutawa deceive zaidi na zaidi mpaka wawe na descipline za utumishi wa umma
 
So huyu mtu kafa na Corona kwa kuwa wewe umesikia jamaa zako wakisema kilichomua ni Corona?

Seriously!! That is your evidence based .... Hearsay !

Well, nimekusoma. All the best !
Sijasema kafa na corona ila nilitaka kuonyesha corona bado ipo siyo kwamba imeondoka baada ya magu kufa kama baadhi wanavyosema period!
 
Ule mkataba wa ujenzi wa mradi wa bagamoyo si ulivunjwa na Mh JPM ?.
Na alitueleza sababu zilizokua za msingi juu ya alicho kifanya

Hawa wanaopigia debe wanaweza kutuambia kwamba, je alicho sema JPM ni Uongo na kama Ni Uongo Ukweli ni Upi
Ndugai aliwah sem "taarifa alizokuw anapewa JPM kuhs ule mradi hazikuw za kwel" damn!

Ndugai cyo mtu wa kuaminika hata dk 1
 
Ndugai aliwah sem "taarifa alizokuw anapewa JPM kuhs ule mradi hazikuw za kwel" damn!

Ndugai cyo mtu wa kuaminika hata dk 1
Wakati uo Ndugai hakuiona ata MOU na nina hakiK ata akipewa kama ina page 200 hawezi kuisoma ila Magu ninahakika aliiona MOU na ata ingekuwa na page 300 Magu alikuwa na uwezo wa kuisoma na asipoelewa akaita wanasheria wafafanue.
 
MRADI WA BAGAMOYO UKO SAWA WALA HAKUNA ANAYEKATAA,, SHIDA NI MASAHARTI YALIYOMO KUTOKA KWA WAFADHILI NJISI YA KUUTEKELEZA.Ni kwanini wanataka tuwafidie hasara wakati hawataki kuturuhu kukagua mapato yao?Kwanini wnatakea kuruhusiwa kuuza ardhi watakayopewa wakati ardhi ni mali ya Tanzania?Kwanini serikali istangaze ili walionapesa waje na nmasharti tofautu tofauti ili tichangue mtu aliye bora? Kwanini haya wawekezaji hawataki kufuata ushauri walipewa na kamati ya kunegotiate? Angali videa ya Kakoo utube akielezea ukweli wa jambo hili.Sikwamba Magufuri alikataa lakini anataka baadhi ya Masharti yarehekebishwe.
 
Niliona BBC wanaripoti eti mwandamizi ktk serikali ya Jk alisema eti miaka 33 bila Tra kuchukua chochote bagamoyo ni sawa tu. Nikajiuliza mradi mkubwa mara 20 ya bandari ya dar unakubali kuuacha miaka 33 hivi hiyo ni akili ya wapi? Kwa maana hii dar tu ilivyo nchi kibao zinaitamani sasa zinatokea kama dar 20 alafu unaona poa tu, mie naamini kabisa kama JPM angekuwepo angeamua miaka 5 tu ajenge bandari ya b.moyo wala asingeshindwa katu sema kwa wavivu wa kufikiri wanadhani eti wazungu tu ndo wanaweza kufanya vitu kama hivi.

Poor leaders+poor leadership of the day!
 
Uko wapi nikuletee zawadi ya Eid❓
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…