Utata juu ya Mradi wa Bagamoyo

Huoni kama now watu tunaishi kama hakuna Corona.

Je, CAG kutoka hadharani kipindi hiki na kutoa hayo tunayoyasikia it means alikuwa na Taarifa 2 . Sasa hii Taarifa ya 2 ndio anatumia kumchafua JPM kwa maagizo ya mabwana.

Muda utaongea
Ghafla tu hata ule utamaduni wa Tanesco wa kuchezea "Switch" kama watoto wadogo kwa kiasi fulani umepungua. Hata mvua hizi na radi zake umeme haukatiki tena...😲🙄😳
 
Hua nashangaa watunwa JF wanavofurahia
 

Kama kweli hatua ya kuandaa na kusaini mkataba haikuwa imefikiwa basi Magufuli kakuitendea haki serikali ya Kikwete kwa kuyatangaza na kuyaponda mapendekezo ya waChina kama vile ndio masharti ya mkataba yaliyokwishakubaliwa.

Alitakiwa aipokee hiyo “work-in-process” na kukamilisha majadiliano na sio kuja kuwatangaza waliotangulia kama “vichaa”.

Ni muhimu sasa huo “mkataba” kama upo kweli, uwekwe wazi.
 
Kumbe unajua mkataba ni siri. Inabidi umwambie mwanalumumba mwenzako. Wabunge wa CCM wapo 98% bungeni hawajapinga, wewe mwanalumumba kajamba nani, unapinga km nani?
Mkata wa pango pale Ufipa unawekewa hadharani? Mkataba ni siri kati ya wabia banah.
 
Kumbe unajua mkataba ni siri. Inabidi umwambie mwanalumumba mwenzako. Wabunge wa CCM wapo 98% bungeni hawajapinga, wewe mwanalumumba kajamba nani, unapinga km nani?

Hujaelewa Mada
 

Kuna haja ya kujua essence ya Mkataba. Jiulize huyo mchina alipatikana kwa utaratibu gani kipindi hiko ?

Au ni kwa utaratibu wa vile ving’ora alivyokuwa anapigiwa alipokuwa akienda China ?
He sold our country
 
Ghafla tu hata ule utamaduni wa Tanesco wa kuchezea "Switch" kama watoto wadogo kwa kiasi fulani umepungua. Hata mvua hizi na radi zake umeme haukatiki tena...[emoji44][emoji849][emoji15]

Haya
 

Wanaopima upepo ni wale walio nyuma ya kina Ndungai waliotekeleza mpango Mkakati

Katika suala la kiusalama, once watu uliofanya nao kazi kwa muda mrefu wanageuka kuwa maadui wako, the best strategy ni eliminate the risk.

Wakati wingine ni kumfunga mtu hadi utawala wako uishe. JPM alifanya kazi kubwa ya kusafisha chama huku wengine wakifukuzwa, wengine kupewa makaripio na kuwekwa mbali na chama. Lakini watu hawa waliendelea kubaki mtaani.

Hii ni hatari katika strategy za kiusalama. Na huenda ndio sababu kuu ya kuzaliwa kwa PSU ndogo ndani ya PSU iliyotumika na mabeberu na vibaraka under cover.

Tumeona JPM alifanikiwa kunasa sauti za wahusika na ni ishara kwamba tayari alikuwa na maadui , kuwafukuza chama, makaripio na kuwekwa mbali haikutosha katika usalama wake.

PSU strategically walitakiwa kuliona hili na kuchukua TAHADHARI.
 

Tatizo kubwa hata vyombo vya ulinzi na Usalama huwa wanatengenezewa mazingira kupata the National Cake. Ukishapata National Cake Unakaa kimya.

Kumbuka mradi wa Escrow , iliingizwa timu ya watu ikiwemo viongozi wa dini ili mambo yaende smooth.

Nchi iliendeshwa KIPUMBAVU. Haya yote tumeyasahau. Lakini watanzania hawa hawa ndio walioomba nchi ipate RAIS wa maono

Leo watu wanapiga kelele ATCL na hasara. Huu wote ni mpango mkakati. Utasemaje madeni ya ATCL ni hasara ?

Madeni ambayo yalikuwepo tangu na tangu na JPM aliyakuta.

Je deni la taifa ni hasara ? Kwanza CAG anatakiwa kuwajibishwa kwa kukaa na Taarifa hii na kuja kuibukia kwa waandishi wa habari baada ya JPM.
 
Hapa tunapiga porojo tu tatizo huo mikataba wana ificha ficha tu hujui nani mkweli nani anakujaza hii nchi bhn
 
Public inquiry? Who’s gonna spearhead that beside the CCM dons balanced, at best, by the others who you don’t trust? This seems to be a lost cause.

Tayari documentation ya kuchunguza kifo cha JPM imeshaanza
 
Hapa tunapiga porojo tu tatizo huo mikataba wana ificha ficha tu hujui nani mkweli nani anakujaza hii nchi bhn

Chief , mapinduzi yaanziaga kwa mitandao. Never underestimate the power of unknown
 

You are right. However hatupigani vita dhidi ya awamu fulani na awamu nyingine

Tunajaribu kujadili uhalali wa miradi inayokuja kwa Sasa tena kwa kasi ya ajabu huku ikiwa na utata mwingi kwa manufaa ya Taifa
 
Hivi kwanini taarifa ya CAG inatafsiriwa ni mpango wa kumchafua hayati?kwani haiwezekani kuijadili taarifa bila kuingiza suala la hayati?

May be you are passing the wrong way , Chief
 

That’s it
 

Okay , ila next time make sure you compose your paragraphs properly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…