Either utoto au kupenda sifa kupita kiasi kunakufanya uongee vitu ambavyo only family member wanatakiwa kuongea. Hasa ukizingatia kuwa ni wakati wa msiba. UWT hauwezi kuwa na mfanyakazi ambaye ana upungufu kwenye akili, ile kazi sio sawa na kazi yako ya kutoa comments humu na kwenda kuosha viatu vya Mwigulu Nchemba na kuvuta buku saba. No matter what, kifo sio jambo la kukebehi hata kama kwa kufanya hivyo unahisi utamfurahisha boss wako. Furahia kifo cha adui yako lakini sio kukashifu, kukebehi na kuweka tabia zako za kitoto