hiyo ni kawaida kinapotokea kifo cha aina hiyo"Ni kweli kuna ofisa usalama amefariki ndani ya kisima, lakini bado tunachunguza. Kwa sababu itabidi tupate taarifa ya daktari ndiyo tuunganishe na uchunguzi wetu," alisema Kenyela.
Sidhani kama humu jf unaweza kupata majibu sanasana humu jf mtaishia kudanganyana tu,tss watalitolea taarifa wenyewe kwa utaratibu wao wa kawaida.Ninaamini kuwa humu jf tuna watu wa usalama wanaofanya kazi pale makao makuu kijitonyama. Ni vema wakatueleza ukweli wa hili tukio
Kwahiyo unataka kutuambia marehemu alikuwa na ugonjwa wa akili?? sasa kile kisima si nasikia huwa mnakilinda, sikuhiyo mlimpeleka wapi mlinzi?!
Wewe kama sio Rama basi Ighondu..
Mkuu, nimekuwa busy kutokana na jinsi watu walivyojipanga kupotosha ukweli ingawa hawajui chochote juu ya kifo hicho tofauti na yale yaliyoandikwa kwenye mwananchi. Ni jukumu letu kutoana ujinga kwa manufaa ya taifa hiliIvi we mzee wa kuomba BAN na LIZABONI mbona mpo bize sana kuiaminisha jamii kuwa marehemu alikuwa ni mgonjwa wa akili au mlevi sana? Au nanyi ni TISS mnajaribu kuvuruga ushahidi? Kwa mujibu wa maelezo mke wa marehemu alipopiga simu ofisini alijibiwa kuwa marehemu hakuonekana kazini siku hiyo inawezekanaje mtu mwenye matatizo ya akili au mlevi aingie eneo lililojaa maafisa usalama na asionekane na mtu? Kama kuna uzembe kiasi hicho basi waombeni radhi M23 haraka kabla hawajawaingilia kambini na kuwateketeza wote. Naomba mtambue kuwa wana jf wengi wana uwezo mkubwa sana wa kudadavua mambo hivyo msijaribu kuziba mwanga wa jua kwa kutumia ungo, wote tuvute subira matokeo kamili ya uchunguzi yatatolewa.
Usiseme umesikia bali sema kuwa nimesoma kwenye gazeti la mwananchi ukaona kuwa kisima hicho kinalindwa. Sijapatapo kuona sehemu yoyote tanzania hii kisima kinalindwa. Labda mwandishi wa habari alitaka kutuaminisha kuwa mtu huyo aliuawa na kutumbukizwa kwenye kisima hicho. Akili za kusoma changanya na za kwakoKwahiyo unataka kutuambia marehemu alikuwa na ugonjwa wa akili?? sasa kile kisima si nasikia huwa mnakilinda, sikuhiyo mlimpeleka wapi mlinzi?!
Wewe kama sio Rama basi Ighondu..
Mkuu, nimekuwa busy kutokana na jinsi watu walivyojipanga kupotosha ukweli ingawa hawajui chochote juu ya kifo hicho tofauti na yale yaliyoandikwa kwenye mwananchi. Ni jukumu letu kutoana ujinga kwa manufaa ya taifa hili
Ninaamini kuwa humu jf tuna watu wa usalama wanaofanya kazi pale makao makuu kijitonyama. Ni vema wakatueleza ukweli wa hili tukio
Mkuu, ni kwa vile kuna watu humu jf wanadhani kuwa watumishi wa tiss si sehemu ya jamii hii. Hata kama amekufa kwa sababu zinazojulikana lazima watacookKwani tss hawafi kwa ugonjwa akifa tss nongwa.
Basi tusubiri taarifa ya polisi.yaani TISS waje hapa jf kukupa maelezo kwamba mwenzao wamemuua au unataka nini waseme? Halafu hapa wajitambulishe kama nani,japo TISS kwa sasa imekuwa kama jumuiya kwenye chama tawala lakini najua hawawezi kufikia hatua ya kuingia jf na kujibu hoja au shutuma wakati wasemaji wao wapo na taratibu za utoaji taarifa naamini wanazo.
Mkuu, kwani huyo peter alikuwa na cheo gani kiasi cha mtu aliyemuua kupata cheo. Najua hapo umefikiria kwa kutumia masaburi. Kwa hiyo kama alijiua atapandishwaje cheo ilhali amekufa?Na aliefanya Mauaji lazima apandishwe CHEO tehetehetehetehe nchi hii kweli kuna mambo
Either utoto au kupenda sifa kupita kiasi kunakufanya uongee vitu ambavyo only family member wanatakiwa kuongea. Hasa ukizingatia kuwa ni wakati wa msiba. UWT hauwezi kuwa na mfanyakazi ambaye ana upungufu kwenye akili, ile kazi sio sawa na kazi yako ya kutoa comments humu na kwenda kuosha viatu vya Mwigulu Nchemba na kuvuta buku saba. No matter what, kifo sio jambo la kukebehi hata kama kwa kufanya hivyo unahisi utamfurahisha boss wako. Furahia kifo cha adui yako lakini sio kukashifu, kukebehi na kuweka tabia zako za kitoto
ilitakiwa uiweke kwa kiswahili,mimi nilijua umequote kwenye gazeti la kingereza,kumbe umeamua tu,ujue jamii siku hizi ina kila aina ya member ,hata wale wasiopandisha kimombo.Kuna kingereza ambacho hakieleweki hapo?
mimi napita huko sipoMungu ailaze roho yake peponi na uchunguzi wa kina ufanyike tupate ukweli wa hili tukio baya na la kusikitisha kabisa
Mkuu, akili za kuambiwa changanya na za kwako. Ni bora ungefanya kautafiti japo kidogo ili ujue marehemu alikuwa anakaa wapi na wapi alikuwa anafanyia kazi. Then hapo ndo utajua uhalisia wa jambo hilo
Basi tusubiri taarifa ya polisi.
Kivip mkuu?alikuwa anatumiwa kwingine?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mkuu, hapo umenistua kweli. Ila maana chadema walikuwa wanamtumia huyu peter, mgonjwa wa akili kupata taarifa nyeti? Ila sishangai sana maana ndani ya chadema kuna watu wa design hiyo kibao wakiongozwa na tundu lisu. Ina maana kumbe maafisa wanaoripoti kwa dr slaa ni kama huyu mwenye matatizo ya akili? Kweli chadema hamnazo. Ni bora kuhangaika kujenga chama imara kuliko kuhangaika kupata taarifa nyeti kupitia kwa wwtu wenye matatiO ya akiliNimeshachanganya na zangu na kupata majibu yanayoniridhisha. Tunajua Kombe alishutumiwa kuwa alikuwa ana ukaribu na Lyatonga na kumvujishia nyeti nyingi, sitashangaa nikisikia jamaa alikuwa rafiki wa kile chama cha Kinondoni Manyanya. Ila hakuna siri inayodumu milele mwisho wa siku mambo yatawekwa wazi na waliotumwa watawajbika ingawa wale wa Kombe walihukumiwa kifo kimagumashi kisha wakaachiwa kwa msamaha na waliowatuma lakini kuna hukumu ya Mungu ambayo haina ujanjaujanja, dunia ni mapito tu.