Utata kifo cha Afisa Usalama Kijitonyama

Utata kifo cha Afisa Usalama Kijitonyama

hakuna utata peter alikuwa mgonjwa wa akili na muda mrefu tu alikuwa kama kadata..atakuwa kajitumbukiza kisimani

kabla ya kufika huko waulize wataalam wa magonjwa ya akili je wenye aina hiyo ya kichaa if kweli kama alikwa nacho je huwa wana kawaida ya kujiua. mbona kuna vichaa wengi mjini hapa hawajiui? hizi ni taaluma za watu jamani tuache kuhitimisha vitu ambavyo si fani yetu. ukiitwa mahakamni unaweza kuthibitisha haya maneno yako?! unaweza kutusaidia kitaalam umekiaje hitimisho hili?!
 
kuna watu wanajifanya wana matatizo ya akili ili wasifuatiliwe na kushukiwa vibaya pale wanapofanya shughuli za kipelelezi. so sitashangaa kama huo unaoita ukichaa kama tukiambiwa ulikuwa wa kuigiza. pili si watu wote unaowaita vichaa juu kichwani ni watupu... mind you vichaa wengi ni watu wenye akili nyingiii sana zilizopitiliza shida ni kwamba wanakosa insight. ni kama computer iliyoingia virus. acha dharau kwa kuwaundermine wenye matatizo ya akili. kumbuka huu ni ugonjwa kama ilivyo malaria na zaidi ya kuchanganya mafaili wengi weo ni watu wenye uwezo mkubwa kiakili.
kama unabisha kaulizie historia za hao unawaita vichaa utakuta wengine walikuwa wabaya sana darasani, au walisoma mpaka chuo kikuuu na walikuwa wana akili sana darasani
Mkuu, naona una matatizo ya kufikiri. Hakuna mahala mie nimesema kuwa peter alikuwa kichaa. Hivi unavyofikiri matatizo ya akili ni ukichaa? Waone madaktari watakufafanulia zaidi. Kuna watu wengi sana wana hayo matatizo
 
Kwenye kisima au maeneo yanayo kizunguka hakuna cctv camera?
 
Mkuu, naona una matatizo ya kufikiri. Hakuna mahala mie nimesema kuwa peter alikuwa kichaa. Hivi unavyofikiri matatizo ya akili ni ukichaa? Waone madaktari watakufafanulia zaidi. Kuna watu wengi sana wana hayo matatizo

baba hii kichwa naijua mwenyewe na wengi huwa wanaikubali na sihitaji kukupa academic achievement zangu ili ujue uwezo wangu wa kufikiri?! in short am smart. pili naona unajibu maswali ya hoja uliyoipindisha mwenyewe. hongera. rudi kwenye post yako ya kwanza utapata majibu
 
Is it not safe to assume that if you find a person,a group,or an agency that is involved in distortion,destruction or cover up of any information involved in the event of peter's death,does it not indicate possible involvement and even guilt to the death of peter?
 
Lazima utakuwa unajua mengi sana kuhusu kifo hiki.

ulichokigundua wewe nami akili "imeclick" vivyo. Ngoja 2endelee kuunganisha "dots" ukweli utaja julikana kupitia humu humu. Hii ni Jf huwa haiitaji nguvu nyingi au kubanwa na "mbao" ili kuugundua kweli bali akili na unakini kupitia maneno.
 
Mkuu Lizaboni;-

naomba kukunukuu,

".......Ndo maana juhudi za kumtafuta zilijikita nje ya eneo la kazi. Ujue pia kuwa waliofanikisha kupatikana kwa peter ni hao hao maafisa kwani naamini kuwa eneo la kisima kama mwandishi alivyotueleza lipo ndani ya makao makuu ya uwt kijitonyama"

Ndo maana juhudi za kumtafuta zilijikita nje ya eneo la kazi .....!
Kulingana na gazeti, inaonyesha familia kutopata ushirikiano kutoka kwenye idara na ama ku-divert hata hosptl...waende muhimbili na mwili upelekwe lugalo.....pia hadi ufanyiwe postmotam! Mara nyingi postmotam hufanywa siku maiti inaenda kuzikwa au kusafirishwa...sitaki kuuliza hii postmotam ya huyo mbona fasta......na hadi familia kutilia mashaka?

"........
Ujue pia kuwa waliofanikisha kupatikana kwa peter ni hao hao maafisa kwani "
Kama kafia kwenye kisima kilichopo kwenye ofsi za idara, haiwezekani kusema raia ndiye aliemwona!

"
Hivyo ingawa sina hakika lakini inawezekana pia kuwa peter alikuwa anafanya kazi pale na kuishi pale pale"
Sasa wewe mwenyewe huna hakika....kwanini unakataza watu kufikiria vinginevyo...unajua wananchi ndio waajiri wa idara yangu na yako? Hata kama kifo cha mshikaji ni natural.....idara imepoteza kidgo uaminifu kwa wananchi....!!
 
Either utoto au kupenda sifa kupita kiasi kunakufanya uongee vitu ambavyo only family member wanatakiwa kuongea. Hasa ukizingatia kuwa ni wakati wa msiba. UWT hauwezi kuwa na mfanyakazi ambaye ana upungufu kwenye akili, ile kazi sio sawa na kazi yako ya kutoa comments humu na kwenda kuosha viatu vya Mwigulu Nchemba na kuvuta buku saba. No matter what, kifo sio jambo la kukebehi hata kama kwa kufanya hivyo unahisi utamfurahisha boss wako. Furahia kifo cha adui yako lakini sio kukashifu, kukebehi na kuweka tabia zako za kitoto

Wewe utakua huijui UWT machizi wa kiukweli wako kibao na system hiyo hiyo(kazi) ndo imewafanya wa creck
 
Imetajwa kuwa Mhe Waziri mmoja Wa Serikali ya JK ndio aliyesambaratisha ndoa ya Peter, sasa mkewe tayari ana mimba ya huyo Waziri. Imetajwa pia Peter aliapa kumuweka wazi Mhe huyo hasa baada ya kusababisha mfarakano na yeye kuamua kumuachia nyumba mkewe pamoja na wtt waliozaa. Japo haijajulikana kama Mhe huyo kahusika lakini kama Serikali inataka kufanya uchunguzi lazima wazifanyie kazi taarifa hizi.

Jamii Forum is more than Google Engine.
 
Hapo penye red...Hivi kuna mtu yeyote anaweza kuthibitisha kuwa bwana Tyenyi alikuwa na matatizo ya akili na alikuwa anapata matibabu Hospitali ipi hapa Dar?

hao wametumwa kukamilisha ripoti ya kilichopelekea kifo cha marehemu. While we still descover ze truth 4rom other side ov ze coin thru their words.
 
Mkuu Lizaboni;-

naomba kukunukuu,

".......Ndo maana juhudi za kumtafuta zilijikita nje ya eneo la kazi. Ujue pia kuwa waliofanikisha kupatikana kwa peter ni hao hao maafisa kwani naamini kuwa eneo la kisima kama mwandishi alivyotueleza lipo ndani ya makao makuu ya uwt kijitonyama"

Ndo maana juhudi za kumtafuta zilijikita nje ya eneo la kazi .....!
Kulingana na gazeti, inaonyesha familia kutopata ushirikiano kutoka kwenye idara na ama ku-divert hata hosptl...waende muhimbili na mwili upelekwe lugalo.....pia hadi ufanyiwe postmotam! Mara nyingi postmotam hufanywa siku maiti inaenda kuzikwa au kusafirishwa...sitaki kuuliza hii postmotam ya huyo mbona fasta......na hadi familia kutilia mashaka?

"........
Ujue pia kuwa waliofanikisha kupatikana kwa peter ni hao hao maafisa kwani "
Kama kafia kwenye kisima kilichopo kwenye ofsi za idara, haiwezekani kusema raia ndiye aliemwona!

"
Hivyo ingawa sina hakika lakini inawezekana pia kuwa peter alikuwa anafanya kazi pale na kuishi pale pale"
Sasa wewe mwenyewe huna hakika....kwanini unakataza watu kufikiria vinginevyo...unajua wananchi ndio waajiri wa idara yangu na yako? Hata kama kifo cha mshikaji ni natural.....idara imepoteza kidgo uaminifu kwa wananchi....!!
Mkuu, idara ni zaidi ya ujuavyo. Nina hakika kuwa suala hili wanajua idara na ndugu wa familia. Huwezi kupata taarifa kwenye gazeti halafu ukasema kuwa ndo uhalisia. Narudia kusema kuwa kama hujui kitu usijifanye kufikiria halafu ukawaaminisha watu kuwa ndo ukweli.
 
Dah! Lakini ndio kazi yao ilivyo so ni vigumu kujua ukweli.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mkuu Lizabon,

"Mkuu, idara ni zaidi ya ujuavyo. Nina hakika kuwa suala hili wanajua idara na ndugu wa familia. Huwezi kupata taarifa kwenye gazeti halafu ukasema kuwa ndo uhalisia. Narudia kusema kuwa kama hujui kitu usijifanye kufikiria halafu ukawaaminisha watu kuwa ndo ukweli."

Mkuu, idara ni zaidi ya ujuavyo. Ni kweli...inafanya mengi mazuri zaidi tujuavyo sote, na inafanya mengi maovu, zaidi ya tujuavyo mimi na wewe....! sasa hapa tunajadili upande huu mwingine!

Hujajua kuwa vyombo vya habari ni muhimili mwingine wa dola!? Hujajua kuwa wananchi wote huelimishwa, hujuzwa kupitia vyombo vya habari...magazeti yakiwapo? Moja ya kazi ya idara ni kuhakikisha wananchi wanapata habari zilizo na ukweli.....! Kama umelisoma gazeti, limetoa kauli 'taarifa" likiwanukukuu mke na kaka wa marehemu na sio maoni ya mwandishi au muhariri!
 
Jamiiforum mkishashiba,,ugali na maarage mna kazi kweli'hata msiyoyajua mnalazimisha kuyazungumzia hovyooo!
 
Bado zamu yako,wewe kama unataka kujua undani kwa nini usiende kuwauliza kuliko kuanza kutudanganya humu jff.

huyo amemalizwa na uwt wenzake ndio maana wanahepa hepa mara yupo muhi2 mara yupo lugalo bra bra nyingi......wataendelea kuuana tu hawatakaa salama
 
Mkuu, idara ni zaidi ya ujuavyo. Nina hakika kuwa suala hili wanajua idara na ndugu wa familia. Huwezi kupata taarifa kwenye gazeti halafu ukasema kuwa ndo uhalisia. Narudia kusema kuwa kama hujui kitu usijifanye kufikiria halafu ukawaaminisha watu kuwa ndo ukweli.
Sasa mbona wewe unacomment vitu vyenyewe hauna uhakika navyo?
 
Ni kweli this is my real name....!!! Kupotezwa sio jambo ....la ajabu ...ina maana hata walio kwenye service wanatakiwa kujuwa kuwa unaweza kufa kwa kuwa msaliti au kwa kushuhudia usaliti....

Interesting!
 
Back
Top Bottom