Mkuu Lizaboni;-
naomba kukunukuu,
".......Ndo maana juhudi za kumtafuta zilijikita nje ya eneo la kazi. Ujue pia kuwa waliofanikisha kupatikana kwa peter ni hao hao maafisa kwani naamini kuwa eneo la kisima kama mwandishi alivyotueleza lipo ndani ya makao makuu ya uwt kijitonyama"
Ndo maana juhudi za kumtafuta zilijikita nje ya eneo la kazi .....!
Kulingana na gazeti, inaonyesha familia kutopata ushirikiano kutoka kwenye idara na ama ku-divert hata hosptl...waende muhimbili na mwili upelekwe lugalo.....pia hadi ufanyiwe postmotam! Mara nyingi postmotam hufanywa siku maiti inaenda kuzikwa au kusafirishwa...sitaki kuuliza hii postmotam ya huyo mbona fasta......na hadi familia kutilia mashaka?
"........Ujue pia kuwa waliofanikisha kupatikana kwa peter ni hao hao maafisa kwani "
Kama kafia kwenye kisima kilichopo kwenye ofsi za idara, haiwezekani kusema raia ndiye aliemwona!
"Hivyo ingawa sina hakika lakini inawezekana pia kuwa peter alikuwa anafanya kazi pale na kuishi pale pale"
Sasa wewe mwenyewe huna hakika....kwanini unakataza watu kufikiria vinginevyo...unajua wananchi ndio waajiri wa idara yangu na yako? Hata kama kifo cha mshikaji ni natural.....idara imepoteza kidgo uaminifu kwa wananchi....!!