Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee unanifanya nianze ku "analyse safari zake na matukio nchini wakati wa safari".Interesting kuna thread ilisema anaposafiri JK tega sikio kuna tukio
Hao jamaa jua linawaka sana mifukoni. Wanajikuta mipango ya kimafia ya serikali wanaivujisha ili waongeze kipato. Wako wengi sana.Kivip mkuu?alikuwa anatumiwa kwingine?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Huyo atakuwa walimpeleka quater guard au torture chamber ..kutakuwa kuna kosa alifanya ....la kiutendaji....huenda hawakuwa na nia afe ..labda gwaride likawa gumu!!
Nashangaa kwa nini wakakubali kuonesha amefia kisimani ...inaonekana sikuhizi TISS hakuna smooth operators ......la sivyo angetakiwa tu akutwe Mortuary...na msg tu kuwa aliokotwa barabarani ....
Taarifa kama hizi kwa kipindi hiki sio nzuri zinaleta tension bure bungeni ..... unless alikuwa anauza siri na wametaka kutuma message kwa waliokuwa wakimtuma na wengine wenye tabia kama zake
Amri ya Kinana na Chemba la choo kwa kutoa siri inayohusu Lwakatare na Lissu. Wako wengi mtaua woote?
hajang,olewa meno na kucha kweli? R.i.p mr afisa.
hakuna utata peter alikuwa mgonjwa wa akili na muda mrefu tu alikuwa kama kadata..atakuwa kajitumbukiza kisimani
Poleni wafiwa!hizo kazi walishakula kiapo cha kufa au kupona!kwao sio issue tena!kama ni bahati mbaya au planned kwao ni kitu cha kawaida!naona bandiko hili limerudiwa mara 2 sasa,wana ndugu waende huko huko labda watapewa maelekezo mazuri zaidi badala kulalamika kwenye mitandao!kazi zao nyeti sana na siri sana!kila kitu kwao siri!huwezi share na mwenzako chochote!
Kwani Lizaboni wewe unafahamiana na marehemu?Wakuu, ni bora huyo kaka yake angeeleza ukweli au inawezekana alimweleza ukweli mwandishi ila aliandika kivyake. Angeeleza kuwa kaka yake alikuwa na matatizo ya akili na pengine hilo ndo lilikuwa chanzo cha yeye kutumbukia kisimani.