Tetesi: Utata kifo cha Mchungaji Mnigeria 'pusha' anaedaiwa kufa Segerea

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Ni bwana Oezeama kama sikosei.

Mwamba huyo ni Mchungaji lakini 2019 alikamatwa kwa tuhuma za kukutwa na zaidi ya kilo 20 za unga wa cocaine na pamoja naye pia walikamatwa wazungu wawili aliokutwa nao.

Inasemekana bwana yule kafia Gerezani Segerea kwa shinikizo la damu.

Duru za eneo lile zinatabanaisha kushtushwa na taarifa hizo kwa sababu yule bwana ni muda mrefu hakuonekana hadi taarifa za kifo chake kutolewa leo Mahakamani na Wakili.

Mamlaka ichunguze jambo hilo huenda mtuhumiwa katoroshwa.
 
Ni bwana Oezeama kama sikosei.

Mwamba huyo ni Mchungaji lakini 2019 alikamatwa kwa tuhuma za kukutwa na zaidi ya kilo 20 za unga wa cocaine na pamoja naye pia walikatwa wazungu wawili aliokutwa nao.

Inasemekana bwana yule kafia Gerezani Segerea kwa shinikizo la damu.

Duru za eneo lile zinatabanaisha kushtushwa na taarifa hizo kwa sababu yule bwana ni muda mrefu hakuonekana hadi taarifa za kifo chake kutolewa leo Mahakamani na Wakili.

Mamlaka ichunguze jambo hilo huenda mtuhumiwa katoroshwa.

Tanzaniano Bongo Nyoso IMEISHA HIYO MJOMBA.
 
Hilo ni movie la MIDNIGHT EXPRESS

Jamaa raia ya USA anafungwa Kwa kesi ya Madawa ya kulevya UTURUKI ,,
Anapigwa miaka mingi sana,,baadae anahonga pesa Kwa bwana jela atoroshwe Kwa style ya kuingizwa kwenye jeneza kama mfu ili akazikwe makaburini atoroke..

Huyo mchungaji keshakimbizwa muda mrefu sana.

Mchongo mzima umeanzia Kwa bwana jela..
 
46dab456-e943-4f3d-943b-ab8ba26860d2.jpg

Hajatoroshwa huyu dada Antonia ndiye aliondoka na maiti yake!
Huyu mdada naye pia alikuwa mahabusu miaka nane!
Kesi yake ilitajwa kama two weeks ago!
Ala plea bargain amelipa m25!
Ni kesi ya madawa!
Kufa amekufa kweli!
 
Ni bwana Oezeama kama sikosei.

Mwamba huyo ni Mchungaji lakini 2019 alikamatwa kwa tuhuma za kukutwa na zaidi ya kilo 20 za unga wa cocaine na pamoja naye pia walikamatwa wazungu wawili aliokutwa nao.

Inasemekana bwana yule kafia Gerezani Segerea kwa shinikizo la damu.

Duru za eneo lile zinatabanaisha kushtushwa na taarifa hizo kwa sababu yule bwana ni muda mrefu hakuonekana hadi taarifa za kifo chake kutolewa leo Mahakamani na Wakili.

Mamlaka ichunguze jambo hilo huenda mtuhumiwa katoroshwa.
Isijekuwa alishaishia muda mrefu wanatatufa kutupiga changa la mato.
 
View attachment 2463926
Hajatoroshwa huyu dada Antonia ndiye aliondoka na maiti yake!
Huyu mdada naye pia alikuwa mahabusu miaka nane!
Kesi yake ilitajwa kama two weeks ago!
Ala plea bargain amelipa m25!
Ni kesi ya madawa!
Kufa amekufa kweli!
Ameondoka vipi na maiti akiwa bado yupo mahabusu?

Hiyo ni Midnight express straight
 
Kufa amekufa kweli huyu dada aneachiwa ....akaomba maiti akapeleka kwao .....miaka 8 sio kitoto wamesota.....komaa nao haswa mitandao mkubwa sana na wana hela huyu dada kulipa 25m sio utani hapo kasota miaka 8 wengine ndio basi tungeishia kufa huko nani atakulipia mil 25?
 
Back
Top Bottom