Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Ni bwana Oezeama kama sikosei.
Mwamba huyo ni Mchungaji lakini 2019 alikamatwa kwa tuhuma za kukutwa na zaidi ya kilo 20 za unga wa cocaine na pamoja naye pia walikamatwa wazungu wawili aliokutwa nao.
Inasemekana bwana yule kafia Gerezani Segerea kwa shinikizo la damu.
Duru za eneo lile zinatabanaisha kushtushwa na taarifa hizo kwa sababu yule bwana ni muda mrefu hakuonekana hadi taarifa za kifo chake kutolewa leo Mahakamani na Wakili.
Mamlaka ichunguze jambo hilo huenda mtuhumiwa katoroshwa.