Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
so sadMkuu u have spoken my mind.I say hii ngozi nyeusi hii dah wacha wazungu waendelee kutuita manyani.
Nywele fupi pua fupi na akili fupi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
so sadMkuu u have spoken my mind.I say hii ngozi nyeusi hii dah wacha wazungu waendelee kutuita manyani.
Nywele fupi pua fupi na akili fupi
Kabisa Mkuu watu wa Kagongwa - Isagehe tunajua hakuna ndumba pale Mzee alipambana kihalali kabisaSidhani kama ni kweli, wenyeji wa kagongwa _ Kahama tutaelewana vizuri. Kuna jamaa yangu ambaye anamuita Kishimba mjomba anasemà hakuna cha ndumba wala uganga huo utajiri ni wa ukweli.
Kwa ujumla ushirikina ni imani tu.Mambo yanayohusiana na hayo hata stori zake hazinishawishi kuzisikiliza.Waswahili wanasema safari moja huongeza nyingine.Hicho ndo kimenitokea Mimi.
Nikiwa katika safari yangu ya kufanya utafiti uchawi uganga na ulozi nimejikuta napata interest ya kuandika kuhusu matajiri mbalimbali nchini Tanzania na nchi jirani ya Congo ambao utajiri wao inasemekana kuwa umepatikana kichawi.
Iwe umepatikana kichawi au la nitakacho hitaji kujua ni nafasi ya uchawi katika utajiri wao.
Lengo ni kuwa inspire vijana wa kitanzania ambao wana amini hawawezi kufanikiwa bila kutumia uchawi.
Katika hili nitajaribu kufuata nyayo za Napoleon Hill ambae alifanya utafiti kuhusu siri ya utajiri kwa kufanya mahojiano na matajiri mia NNE wa Marekani.
Nilipo kuwa jijini Mwanza kwa ajili ya kufanya utafiti kuhusu bibi Fisi nilikutana na story za MTU anaeitwa Jumanne Kishimba.
Huyu jamaa anatajwa kama moja kati ya matajiri wa Mwanza ambae chanzo cha utajiri wake kinahusishwa na ushirikina.
Inasemekana kuwa Kishimba alifika jijini Mwanza mwishoni mwa miaka ya themanini akitokea kwao mkoani Shinyanga kwa ajili ya kutafuta maisha ( Mwanza ndo Dar Es Salaam ya kanda ya ziwa )
Kazi aliyo kuwa anaifanya jijini Mwanza ilikuwa ni kuuza sigara ( na pipi?) Kwa kutembeza mitaani ( Street Hooker )
But ghafla mwaka 1994 Kishimba akaibuka kuwa na ukwasi usio shabihiana na shughuli aliyo kuwa akiifanya.
Watu wengi waliuhusisha utajiri wa Kishimba na uchawi .Kwamba ametoa kafara ili apate utajiri.
Pamoja na watu wengi kuamini kuwa utajiri wa Kishimba ni utajiri wa kichawi wapo watu wachache ambao hawakubaliani na hoja hii.
Miongoni mwa watu hao ni jamaa hawa wanne nilio Fanya nao mahojiano ambao wao wanasema kwamba chanzo cha utajiri wa Kishimba ni vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Watusi huko nchini Rwanda mwaka 1994 .
Jamaa hawa wanadai ya kwamba wakati mauaji ya kimbari yanaendelea huko nchini Rwanda wapo mamia ya wafanya biashara nchini Tanzania na DRC ambao walitake advantage of the situation na kupata utajiri wa kutisha. Na kwamba miongoni mwa wafanya biashara hao ni Jumanne Kishimba wa Mwanza.
Je Kishimba alitajirika vipi kupitia mauaji ya kimbari dhidi yawatusi yaliyo tokea nchini Rwanda mwaka 1994 ?
Majibu utayapata ndani ya kitabu changu ( Jina linahifadhiwa ) ambacho kitakuwa hewani baada ya mahojiano na wafuatao kukamilika.
1. Jumanne Kishimba mwenyewe
2. Bi Hadija Kishimba mtoto wa Jumanne Kishimba.
Pia jiandae kusoma kitabu kuhusu Bibi Fisi .Katika kitabu hicho pamoja na mambo mengine utausoma uchambuzi wa kina wa kesi ya mauaji dhidi ya bibi Fisi.
Vile vile kitabu kuhusu Juma Njemba kipo jikoni kinapikwa.Kaa mkao wa kula.
Ninaendelea kufanya utafiti kuhusu waganga na wachawi maaurufu waliopata kutikisa Tanzania pamoja na matukio mbali mbali ya kustaajabisha yaliyowahi kutokea Tanzania na nchi jirani.
Shit happens !Waswahili wanasema safari moja huongeza nyingine.Hicho ndo kimenitokea Mimi.

Christian.Q
Wewe ni dini gani mkuu?
Likud usije kumsahau Mzee NYAMAGATI Mzanaki Katiri zaidi ya Alshabab mastermind wa Mauaji yooote ya kulipiza kisasi ktk Mkoa wa Mara na Tanzania kwa ujumla. Kwa sasa amesha RIP baada ya lile tukio la Mauaji ya watu 17 huko Musoma. Ana historia ya kutisha inatosha kwa kuiandikia kitabu. Work on it mkuuuWaswahili wanasema safari moja huongeza nyingine.Hicho ndo kimenitokea Mimi.
Nikiwa katika safari yangu ya kufanya utafiti uchawi uganga na ulozi nimejikuta napata interest ya kuandika kuhusu matajiri mbalimbali nchini Tanzania na nchi jirani ya Congo ambao utajiri wao inasemekana kuwa umepatikana kichawi.
Iwe umepatikana kichawi au la nitakacho hitaji kujua ni nafasi ya uchawi katika utajiri wao.
Lengo ni kuwa inspire vijana wa kitanzania ambao wana amini hawawezi kufanikiwa bila kutumia uchawi.
Katika hili nitajaribu kufuata nyayo za Napoleon Hill ambae alifanya utafiti kuhusu siri ya utajiri kwa kufanya mahojiano na matajiri mia NNE wa Marekani.
Nilipo kuwa jijini Mwanza kwa ajili ya kufanya utafiti kuhusu bibi Fisi nilikutana na story za MTU anaeitwa Jumanne Kishimba.
Huyu jamaa anatajwa kama moja kati ya matajiri wa Mwanza ambae chanzo cha utajiri wake kinahusishwa na ushirikina.
Inasemekana kuwa Kishimba alifika jijini Mwanza mwishoni mwa miaka ya themanini akitokea kwao mkoani Shinyanga kwa ajili ya kutafuta maisha ( Mwanza ndo Dar Es Salaam ya kanda ya ziwa )
Kazi aliyo kuwa anaifanya jijini Mwanza ilikuwa ni kuuza sigara ( na pipi?) Kwa kutembeza mitaani ( Street Hooker )
But ghafla mwaka 1994 Kishimba akaibuka kuwa na ukwasi usio shabihiana na shughuli aliyo kuwa akiifanya.
Watu wengi waliuhusisha utajiri wa Kishimba na uchawi .Kwamba ametoa kafara ili apate utajiri.
Pamoja na watu wengi kuamini kuwa utajiri wa Kishimba ni utajiri wa kichawi wapo watu wachache ambao hawakubaliani na hoja hii.
Miongoni mwa watu hao ni jamaa hawa wanne nilio Fanya nao mahojiano ambao wao wanasema kwamba chanzo cha utajiri wa Kishimba ni vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Watusi huko nchini Rwanda mwaka 1994 .
Jamaa hawa wanadai ya kwamba wakati mauaji ya kimbari yanaendelea huko nchini Rwanda wapo mamia ya wafanya biashara nchini Tanzania na DRC ambao walitake advantage of the situation na kupata utajiri wa kutisha. Na kwamba miongoni mwa wafanya biashara hao ni Jumanne Kishimba wa Mwanza.
Je Kishimba alitajirika vipi kupitia mauaji ya kimbari dhidi yawatusi yaliyo tokea nchini Rwanda mwaka 1994 ?
Majibu utayapata ndani ya kitabu changu ( Jina linahifadhiwa ) ambacho kitakuwa hewani baada ya mahojiano na wafuatao kukamilika.
1. Jumanne Kishimba mwenyewe
2. Bi Hadija Kishimba mtoto wa Jumanne Kishimba.
Pia jiandae kusoma kitabu kuhusu Bibi Fisi .Katika kitabu hicho pamoja na mambo mengine utausoma uchambuzi wa kina wa kesi ya mauaji dhidi ya bibi Fisi.
Vile vile kitabu kuhusu Juma Njemba kipo jikoni kinapikwa.Kaa mkao wa kula.
Ninaendelea kufanya utafiti kuhusu waganga na wachawi maaurufu waliopata kutikisa Tanzania pamoja na matukio mbali mbali ya kustaajabisha yaliyowahi kutokea Tanzania na nchi jirani.
1994 wakati wa mauaji ya kimbari j4 alikua tayari tajiri akimiliki jengo la ghorofa 5 pamba road,lenye duka kubwa la jumla na godown kubwa mali ya ncu.Waswahili wanasema safari moja huongeza nyingine.Hicho ndo kimenitokea Mimi.

Mimi hapaaa mh fulaniNani atazindua kitabu? Tuweke booking ukumbi wa Solomon mapemaa