Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

Aisehh nchi imekuwa ya kamata kamata !! Haya mambo niliyasikia mataifa mengine mengine nikawa nawadharau kumbe eh ni rahisi rahisi tu hata sisi yametukuta.

Wakimaliza na wenye mawazo tofauti watarudi humo humo.
 
Jamani ambaye yupo nje ya nchi anatafuta mfanyakazi plz njoo PM kweli nimechoka hii nchi uliongea kuhusu mkulu tu wanakutafuta sasa hichi viwanda vitajengwa kweli huu mwaka wa pili hakuna hata ramani ya viwanda wala raw materials THIS IS TOO MUCH
[HASHTAG]#bringbackbensaananealive[/HASHTAG]
[HASHTAG]#freeromamkatoliki[/HASHTAG]
 
Huu uongozi unsvoenda taarifa za habari anazosoma roma zinaanza kurudi
 
Kwani huyo Roma ndio nani? na anajishughulisha na nini? mbona mnapenda kutafuta Kiki kwa Serikali kibwege bwege hivi. leteni vitu vya msingi watu wamchukue Roma waende nae wapi? kama ndieyule mwanamuzi anaeimba nyimbo zinazokaa wiki moja watu hawazikumbuki tena, kama kuimba kuna watu waliimba wa bongo flava mpaka leo nyimbo ikipigwa bado inamaana ije kuwa nyimbo zenu kama pipi ukimung'unya inakwisha.
 
Back
Top Bottom