Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

Mwemary Malawi kutukomboa""" ndio nani hao Malawi unachoweza kuandika kwenye keyboard bila kufikiri we ni mwananchi tulia!
 
Kutoka kwenye Facebook wall ya Professor Jay................

"Nimestushwa sana kusikia kuwa kuna watu wamevamia studio za TONGWE RECORDS majira ya saa moja usiku na wamemchukua ROMA @roma2030 , MONY @moni_ centrozone na kijana wa Kazi na pia wamechukua COMPUTER ya studio na Screen (Tv) na wameondoka navyo kusikojulikana.

Mpaka sasa hatujui wamewapeleka wapi!!"



View attachment 491654

Huenda kuna habari za kiintelligensia kwamba alitaka kutoa single isiyomsifu Rais.
 
Kutoka kwenye Facebook wall ya Professor Jay................

"Nimestushwa sana kusikia kuwa kuna watu wamevamia studio za TONGWE RECORDS majira ya saa moja usiku na wamemchukua ROMA @roma2030 , MONY @moni_ centrozone na kijana wa Kazi na pia wamechukua COMPUTER ya studio na Screen (Tv) na wameondoka navyo kusikojulikana.

Mpaka sasa hatujui wamewapeleka wapi!!"



View attachment 491654

Very sad
 
Msanii wa mziki Ibrahim Mussa maarufu kama Roma mkatoliki na msanii mwezake Moni pamoja na kijana mwingine ,wamekamatwa jana majira ya saa moja usiku wakiwa studio za TONGWE Records na watu wanaosadikiwa kuwa ni jeshi la polisi.Wakamataji hao walio ondoka pia na Computer pamoja na Tv flat za Studioni hapo.
Chanzo cha kukamatwa kwao na mahala walipopelekwa bado haijajulikana.

Source.Joseph haule tweet.


Tukio hilo linajiri ikiwa limepita takribani juma moja tangu msanii mwingine wa mziki Emmanueli Elibariki maarufu Ney wa mitego aliyekuwa amekamatwa na jeshi la polisi kuachiliwa huru kwa order ya rais kupitia kwa waziri Mwakyembe.Msanii Ney wa mitego alikamatwa akiwa mkoani morogoro kwa kile kinacho daiwa ni kutunga wimbo wakichochezi alioupa jina la "wapo" ambao baadaye ulipewa ruhusa ya kusikika kwenye vituo vyote vya redio na serikali.View attachment 491646 View attachment 491646 View attachment 491647



Hao ndiyo kina nani?
 
MABASHIIIIITE YAMEFANYA YAO YA KIBASHITEE
 
Kwani huyo Roma ndio nani? na anajishughulisha na nini? mbona mnapenda kutafuta Kiki kwa Serikali kibwege bwege hivi. leteni vitu vya msingi watu wamchukue Roma waende nae wapi? kama ndieyule mwanamuzi anaeimba nyimbo zinazokaa wiki moja watu hawazikumbuki tena, kama kuimba kuna watu waliimba wa bongo flava mpaka leo nyimbo ikipigwa bado inamaana ije kuwa nyimbo zenu kama pipi ukimung'unya inakwisha.
Povu kibao ulichokiandika
 
Wanajifanya hawajali kuimbwa imbwa na rappers kumbe hawapendi na wana hasira kali ....
 
Kikosi kazi kiliongozwa na bashite au yule jamaa aliyemtolea chuma mkuu Nape Nnauye ..? Ufafanuzi plz,maana wwa jinsi nimjuavyo mkuu roma Mkatoliki atakuwa alikuwa anashusha mistari mikali sana ya kuhusu utawala wa "one man show" hivyo ikabidi wamdake juu kwa ju. Maana Ngoma ungekuwa Kali Mara mia ya ile ya ney wa mitego "wapo"

Sasa wao baadala ya kuondoka na flash (hii mbinu inasaidia kutokuacha nyayo eneo la Tukio)
 
Hii taarifa haijakamilika inamaswali kibao,. Napata shida kuona watu wanavyoanza kuto povu na kutukana watu na mamlaka hovyo hovyo, hata uhakika wa taarifa yenyewe hawana niyakusadikika tu. Rai yangu tuache majungu na porojo na mihemko tujikite kwanza kupata data za kisayansi kuhusu jambo husika, yaweza kuwa ni mabifu yao, au mamlaka za ulinzi na usalama au ujambazi au vinginevyo, na kama ni mamlaka zetu za ulinzi na usalama tunapaswa pia kujua sababu za kuwakamata ili tujue kama wamefanya kwa masilahi mapana ya Taifa au uonevu.Tukumbuke hata kama ni wasanii Hawana kinga ya kutokamatwa kama kweli wamefanya kosa, tusiunganishe mihemko ya Ney kwenye hili sakata
 
Kiukweli hali iliyopo hapa Bongo si salama maana mtu anapoonekana kuikosoa serikali anakuwa spotted kama adui. I don't know where are we going? Nchi kama hii tunayojitangaza kisiwa cha amani ilipaswa kuakisi yasemwayo huko nje. Wanazngua sana hawa shenzi.
 
Kakamatwa na nani? Jeshi la polisi au jeshi la bashite?


Jeshi la bashite ??

Bashite ni nani kwenye nchi hii?? Jina geni
emoji12.png
emoji12.png
 
Back
Top Bottom