juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Kakamatwa na nani sasa? Polisi ndio wanaokamata tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu taarifa haijasema kuwa amekamatwa.Taarifa inasema kachukuliwa.Kakamatwa na nani sasa? Polisi ndio wanaokamata tu
anaumwa huyoKwani washatukana tayari?
Nadhani atakuwa aliandaa wimbo hatariVipi tena wamepata taarifa anaenda kuwaimba nini? wamemuwahi kabla hajachafua hali ya hewa.
Una uhakika MkuuDaudi Albert Bashite on work
Soma vizuri post ya Prof Jay.Mkuu taarifa haijasema kuwa amekamatwa.Taarifa inasema kachukuliwa.
kuna ukawaida gani hapo?Kawaida sana kwa mambo kama haya.. movie zinaendelea
heri yako ulikuwa na 10%. never had one and never will. God forbid me from having anyKutokamatwa kwa Bashite kwa upande wangu nimepoteza matumaini ya 10% niliyokuwa nayo kwa Sisiemu na Sirikali yake. Sasa narudi 0% rasmi.